Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

Mama naona hajatulia kila siku anakutana na watu.....
 
Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame.

Katika salamu hizo Rais Kagame kwanza ametoa pole kwa Rais Samia kufuatia kifo cha hayati Magufuli na pia amempongeza mama Samia kwa kupokea kijiti.
Pia Kagame amesisitiza kuwa miradi yote ya pamoja itatekelezwa ipasavyo ikiwemo ujenzi wa SGR.

Source: ITV habari!
Kwani kila taarifa lazima upost?
Hii taarifa ilishaketwa jamvini mchana
 
Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame.

Katika salamu hizo Rais Kagame kwanza ametoa pole kwa Rais Samia kufuatia kifo cha hayati Magufuli na pia amempongeza mama Samia kwa kupokea kijiti.
Pia Kagame amesisitiza kuwa miradi yote ya pamoja itatekelezwa ipasavyo ikiwemo ujenzi wa SGR.

Source: ITV habari!
Nimekuta Jet ya RwandaAir oale airport Dodoma asubuhi leo
 
Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame.

Katika salamu hizo Rais Kagame kwanza ametoa pole kwa Rais Samia kufuatia kifo cha hayati Magufuli na pia amempongeza mama Samia kwa kupokea kijiti.
Pia Kagame amesisitiza kuwa miradi yote ya pamoja itatekelezwa ipasavyo ikiwemo ujenzi wa SGR.

Source: ITV habari!

Ametuma Leo??? Mbona inashangaza alikuwa wapi muda wote?
 
Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame.

Katika salamu hizo Rais Kagame kwanza ametoa pole kwa Rais Samia kufuatia kifo cha hayati Magufuli na pia amempongeza mama Samia kwa kupokea kijiti.
Pia Kagame amesisitiza kuwa miradi yote ya pamoja itatekelezwa ipasavyo ikiwemo ujenzi wa SGR.

Source: ITV habari!
Huyu anatupa pole leo?mbona kama kachelewa sana
 
Back
Top Bottom