Ukiona hivyo jua kina dili anataka kupiga.janja janja sana PAKAYaan raia tuneshasahau kifo cha Magufuli, leo mjumbe maalum wa Paul Kagame anatoa pole kwa Tanzania, Maajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo jua kina dili anataka kupiga.janja janja sana PAKAYaan raia tuneshasahau kifo cha Magufuli, leo mjumbe maalum wa Paul Kagame anatoa pole kwa Tanzania, Maajabu
Hata kwa swaiba wa ndaniPole za msiba hazina ukomo, hata baada ya miaka kadha unaruhusiwa kutoa pole!
Kipindi kile mwendazake akiwa Waziri akawa anawambia watu wapige mbizi baharini,alivyobomoa Petrol station ya Mwarabu Mwz serikali ikaishia kulipa fidia,alivyojigawia nyumba za serikali na mengineyo alikua anapotoshwa na nani?Kaaa mbali sana na PAKA ndie aliyempotosha mpita njia kisha akamtosa
Bendera mbona nchi zote za E/Africa zilishusha?Kenya ndie rafiki wetu na ndugu zetu wa damu toka nitoke,pia Kenya ndio kimbilio la watz wengi kama first sehemu salama wakimbiao mkono wa chuma.Oscar Kambona,Lisu,Lema,Manji,Rostam,nk.
Walikuja kutuzika na wakashusha bendera.Rafiki wa kweli ni kwenye shida.
Moto ukikutana na petrol matokeo yake uwajeKipindi kile mwendazake akiwa Waziri akawa anawambia watu wapige mbizi baharini,alivyobomoa Petrol station ya Mwarabu Mwz serikali ikaishia kulipa fidia,alivyojigawia nyumba za serikali na mengineyo alikua anapotoshwa na nani?
Itategemea na Petrol ipi,ya kwny vidumu au ya petrol station.Moto ukikutana na petrol matokeo yake uwaje
Wewe SSH be careful with this wolf PK he is an extremely dangerous and a notorious opportunist! Be ware! He did not attend a funeral to a diseased person who gave him his first visit, the person he publicly called a "brother". Chase this shit away!! it is of no use!Wasau wa JF,
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame.
Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu Vincent Biruta ,Rais Kagame alitoa pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli , alimpongeza kwa kupokea kijiti cha Urais na pia alimuhakikishia kuwa Rwanda itaimarisha ushirikiano na Tanzania
Kazi Iendelee.
Rwanda sio nchi muhimu sana kwetu kama zilivyo nyingine, hata tukiwaweka pembeni kwanza hatutaathirika sana. Jk amshauri mama amnyooshe PK, ni kiumbe wa ajabu sana ambaye nashukuru Jk alimshorosha.Safi, tuzidi kuimarisha mahusiano yetu na mataifa jirani.
Rwanda ni Jirani zetu na pia ni wadau wakubwa ktk mashirikiano ya kiuchumi.
Mafriji yao yalikuwa hayagandishi 😀😀😀Kikulacho kinguuoni mwako.
Wale walinzi wa mwendazake waliokuwa wanatajwa tajwa kutoke Rwanda walisharudi au ilikuwa udaku kama udaku mwingine?
hahahaha Mambo ni mengi sana....Pamoja na kuwa kuhani hakuna kipindi maalum………..lakini muda wote huoooo!!!!? Au naye alikuwa anawaza kama MATAGA wengine walivyokuwa wanafikiri kuwa, baada ya MWENDAZAKE "kwenda zake",basi ndiyo mwisho wa TZ!?
Wewe SSH be careful with this wolf PK he is an extremely dangerous and a notorious opportunist! Be ware! He did not attend a funeral to a diseased person who gave him his first visit, the person he publicly called a "brother". Chase this shit away!! it is of no use!