Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Naona kigololi kimekushuka lazima umtaje Lissu
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Ukisikia mtu kuanza kuugua uwendawazimu, ndiyo huku. Hailewi hata kinachojadiliwa, anaporomosha tu chochote kilichobakia kichwani wakati akili ilipokuwa inaondoka.
 
mzee wa mikakati bhana! siku zote alikuwa anafikiria kutoa pole au hakusikia msiba wa kifo cha raisi mwana east africa mwenzie... vituko tu hivi
Acha Ushamba katika Medani za Diplomasia na Itifaki huwa hakuna Msamiati wa Kuwahi au Kuchelewa hasa katika kutoa Tamko au Taarifa fulani. Nasisitiza tena acha Ushamba.
 
Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame.

Katika salamu hizo Rais Kagame kwanza ametoa pole kwa Rais Samia kufuatia kifo cha Hayati Magufuli na pia amempongeza mama Samia kwa kupokea kijiti.

Pia Kagame amesisitiza kuwa miradi yote ya pamoja itatekelezwa ipasavyo ikiwemo ujenzi wa SGR.
Too little too late.
Kagame kajishaua kwa miezi miwili, huku tukimuomboleza Mwendazake.
Mama Samia kaenda Kaenda, kaenda Kenya.
Rwanda NO!
 
Acha Ushamba katika Medani za Diplomasia na Itifaki huwa hakuna Msamiati wa Kuwahi au Kuchelewa hasa katika kutoa Tamko au Taarifa fulani. Nasisitiza tena acha Ushamba.
nimekuelewa mwerevu, nisamehe mfugaji
 
Ametuma Leo??? Mbona inashangaza alikuwa wapi muda wote?
Rejea tukio la Kumuaga Hayati Rais Dkt. Magufuli Kitaifa pale Dodoma kisha msikilize aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mzee Kabudi alimtaja nani kutoka Rwanda Kumuwakilisha Rais Kagame na alitoa Salamu zake zipi.

Ukimaliza rejea tena Siku ile ya Maziko ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kule Chato Rwanda iliwakilishwa na nani pale na Salamu gani kutoka Rwanda kwa Rais Kagame na Wanyarwanda zilitolewa.

Tatizo lenu mna Upumbavu uliokomaa.
 
mbona walitoa pole waliomboleza kama nchi na kushusha bendera kwa siku kadhaa hadi alipozikwa
Watanzania wengi ( siyo wote ) wana Ujuha ( Upuuzi ) mwingi sana tu Ndugu yangu.

Leo wanashangaa Rais Kagame kuendelea kutoa Pole zake na hadi kumtuma Mwakilishi huyo.

Na walivyo Wanafiki wamesahau kuwa Rais Kagame aliomboleza sana tu na Wanyarwanda Kwao.

Hivi Mtu ambaye haombolezi anaweza Kushusha Bendera zake kwa muda wa Siku Saba nzima?

Tena yawezekana Rwanda ndiyo iliomboleza kwa Uchungu zaidi kuliko Wanafiki wa Tanzania.

Watanzania wanakazana tu Kumchukia Kagame na Siasa zake wakati Adui yao yupo hapa hapa.

Uzi huu umanisaidia kujua Akili mbovu za baadhi ya Watanzania zenye Wivu, Chuki na Ushamba.
 
Too little too late.
Kagame kajishaua kwa miezi miwili, huku tukimuomboleza Mwendazake.
Mama Samia kaenda Kaenda, kaenda Kenya.
Rwanda NO!
Another Fool. Nani kakuambia kuwa Kidiplomasia na Kiitifaki Safari au Ziara za Marais hupangwa Kiholela kama Wewe unavyotoka Kyela kwenda Namtumbo kila ukijisikia tu.

Tatizo lenu mnapenda sana Majungu.
 
Utakuta mtu ana comment kitu bila hata kusoma heading inasemaje / mambo ya Lissu yana uhusiano gani na post hiyo/Milembe kuna mhusu
Lissu anahusikaje kwenye hii Post?
Utakuja kuolewa bila kupenda.
 
Watanzania wengi ( siyo wote ) wana Ujuha ( Upuuzi ) mwingi sana tu Ndugu yangu.

Leo wanashangaa Rais Kagame kuendelea kutoa Pole zake na hadi kumtuma Mwakilishi huyo..
Acha kutokwa na mapovu au wewe ni side chick ya Paulo?
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
Maelfu? hivi shuleni mlienda somea ujinga au?
 
Back
Top Bottom