Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
" Watu wananukuu maneno yake out of context"🤔
 
Aisee yani unaweza kuongea mda huu usiku kumbe moderetor yupo bar anasikiliza mziki wa mapiano na kukupiga ban
 
Nadhani Mheshimiwa Rais ameongea maneno mazuri pale na sasa watu wananukuu maneno yake out of context,na kusababidha Rais alaumiwe.
Kuhusu hayo mambo yanayoitwa mambo ya uchawi,Rais anawaalika machifu kutoa msaada ili huu uovu uweze kuthibitiwa,ili haya mambo ambayo hayana mantiki yakomeshwe.
Sasa runawakabidhi wachawi wawakamate watekaji. Watakoma.
 
Vyombo vya dola vimeamua kumususia mama nchi. Kafukuza DGCI 4 lkn wapi.
 
Kuna mkoa Una matukio ya upotezaji watu kuzidi Mbeya? Kuchuna ngozi Mbeya, kuua Wenye upara Mbeya, kunyofoa korodani Mbeya.
Eti kuua wenye upala🤣🤣 hayo matukio yametokea Mara ya mwsho lin mkuu
 
Nitajie Chief asiye mshirikina nikupe Mbuzi dume asiyezini.
Lakini ni nani pia katika Africa ambaye sio mshirikina ??!

Almost kila mtu anaenda kwa waganga wa kienyeji kwa ajili ya kupata eti kinga au mafanikio katika maisha 😳🙄 !
 
Ushirikina kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuabudu kisichokua Mungu 🙌
Mizimu etc etc !

Kile kinachoabudiwa ndio Mungu kwa mujibu wa imani husika.

Ndo maana kuna Allah, Jehovah, Yaweh, n.k

Mind you, waislam huwaita wakristo washirikina kwani hamuamini Mungu?
 
Kile kinachoabudiwa ndio Mungu kwa mujibu wa imani husika.

Ndo maana kuna Allah, Jehovah, Yaweh, n.k

Mind you, waislam huwaita wakristo washirikina kwani hamuamini Mungu?
Muwamba ngozi huvutia upande wake !
Mimi siamini katika kukashifu Dini za wengine !! 🙌👍
 
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao.

Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu.

====

Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua albino, kukuta viungo hakuna, nk, na kama kuna wageni wanatuletea utamaduni huo tuukataeni si utamaduni wetu.

Pia tuwaelimishe watu, ukihoji sana utasikia uchaguzi umefika lakini uchaguzi haujasema tufanye vituko hivyo, waambieni wanasiasa kama hayo ni kweli, nyie machifu mnajua ukweli, vyeo havipatikani kwa kuua watu wala kushika viungo vya watu, mtoaji madaraka ni Mungu.

Mungu akikuweka na kukupa utapata, unaweza ukaua watu kumi na bado unalolitaka usipate sababu Mungu hajataka kukupa. Yanayotokea si mazuri kuyasikia.


CCM imetengeneza machifu wake kinyume cha katiba.
 
Back
Top Bottom