Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umri wa hai machifu tafadhali! Sioni vijana machifu au uchifu ni uganga wakienyeji
 

Nikukumbushe, usipokuwa mbogo na madereva,hali sio shwari
 
Namuunga Mkono Rais Samia kwenye hili
P
Sawa tunamuunga mkono, lakini mbona hajakemea polisi waliomteka raia kwa siku 29 bila kutoa taarifa kwa ndugu zake? Hauoni kuwa hili nalo liinachangia ktk sehemu ya kukua kwa wimbi hili la utekaji? Wewe kama mtaalam wa Sheria hili unalionje?
 
Kutoa mifano miwili ya watoto kuleta drama ya kujiteka na kutochukulia serious kwa waliotekwa na kuuawa zaidi ya 50 hapo amechemka.
 
wanasiasa walio wengi wanajihusisha na vitendo vya KISHIRIKINA. wengi wao wanatafuta vyeo kwa njia za kishirikina sio uwezo wao.
wengi wao wana tetea nafasi au vyeo vyao kwa njia za kishirikina.

Ushirikina kwa wabongo ndio mpango mzima. wachache sana wanao tegemea nguvu za mungu, wengi wao ni ushirikina tu.
 
Aanze na Wana Chukua Chako Mapema wenzie kwanza ndio aseme hadharan
 
Back
Top Bottom