Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kichekesho TU hiki. Hakuna kiongozi hapo.
 
wanasiasa walio wengi wanajihusisha na vitendo vya KISHIRIKINA. wengi wao wanatafuta vyeo kwa njia za kishirikina sio uwezo wao.
wengi wao wana tetea nafasi au vyeo vyao kwa njia za kishirikina.

Ushirikina kwa wabongo ndio mpango mzima. wachache sana wanao tegemea nguvu za mungu, wengi wao ni ushirikina tu.
Kabisa !
 
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao.

Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu.

====

Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua albino, kukuta viungo hakuna, nk, na kama kuna wageni wanatuletea utamaduni huo tuukataeni si utamaduni wetu.

Pia tuwaelimishe watu, ukihoji sana utasikia uchaguzi umefika lakini uchaguzi haujasema tufanye vituko hivyo, waambieni wanasiasa kama hayo ni kweli, nyie machifu mnajua ukweli, vyeo havipatikani kwa kuua watu wala kushika viungo vya watu, mtoaji madaraka ni Mungu.

Mungu akikuweka na kukupa utapata, unaweza ukaua watu kumi na bado unalolitaka usipate sababu Mungu hajataka kukupa. Yanayotokea si mazuri kuyasikia.


Hao ni CCM wanajuana kwa mauaji.
 
Back
Top Bottom