Pre GE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
" Watu wananukuu maneno yake out of context"πŸ€”
 
Aisee yani unaweza kuongea mda huu usiku kumbe moderetor yupo bar anasikiliza mziki wa mapiano na kukupiga ban
 
Sasa runawakabidhi wachawi wawakamate watekaji. Watakoma.
 
Vyombo vya dola vimeamua kumususia mama nchi. Kafukuza DGCI 4 lkn wapi.
 
Kuna mkoa Una matukio ya upotezaji watu kuzidi Mbeya? Kuchuna ngozi Mbeya, kuua Wenye upara Mbeya, kunyofoa korodani Mbeya.
Eti kuua wenye upala🀣🀣 hayo matukio yametokea Mara ya mwsho lin mkuu
 
Nitajie Chief asiye mshirikina nikupe Mbuzi dume asiyezini.
Lakini ni nani pia katika Africa ambaye sio mshirikina ??!

Almost kila mtu anaenda kwa waganga wa kienyeji kwa ajili ya kupata eti kinga au mafanikio katika maisha πŸ˜³πŸ™„ !
 
Ushirikina kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuabudu kisichokua Mungu πŸ™Œ
Mizimu etc etc !

Kile kinachoabudiwa ndio Mungu kwa mujibu wa imani husika.

Ndo maana kuna Allah, Jehovah, Yaweh, n.k

Mind you, waislam huwaita wakristo washirikina kwani hamuamini Mungu?
 
Kile kinachoabudiwa ndio Mungu kwa mujibu wa imani husika.

Ndo maana kuna Allah, Jehovah, Yaweh, n.k

Mind you, waislam huwaita wakristo washirikina kwani hamuamini Mungu?
Muwamba ngozi huvutia upande wake !
Mimi siamini katika kukashifu Dini za wengine !! πŸ™ŒπŸ‘
 
CCM imetengeneza machifu wake kinyume cha katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…