Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.

Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna ya kuendesha maisha yao mtaani.

Amesisitiza kuzingatia haki za binadamu kwa kuwa kuna wengine wamefanya makosa kwa bahati mbaya na wengine wametiwa hatiani kwa ushahidi wa kimazingira.
 
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!

Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
 
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.

Mmeanza praise and worship
 
Yule chizi boat eti alitaka wafungwa wapigwe mateke
 
Akimuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza, Mzee Ramadhan Nyamka leo Rais amemtaka kuiongoza taasisi hiyo kwa weledi na kuongeza kuwa taasisi hiyo iliacha kazi yake ya msingi ikiwemo kurekebisha tabia za wahalifu.

Samia amesema Magereza wanatakiwa kulinda haki za wafungwa kwasababu ni binadamu kama walivyo wengine na wanatakiwa kupata mavazi, hewa safi na chakula kizuri na sio kupewa adhabu pekee.

Aidha Rais amefafanua kuwa Serikali imekuwa ikitoa misamaha kwa wafungwa lakini ndani ya siku chache wanatenda uhalifu na kurudi Mahakamani, na chanzo cha kufanya hivyo ni Magereza kushindwa kurekebisha tabia za Wafungwa.
 
Samia amesema Magereza wanatakiwa kulinda haki za wafungwa kwasababu ni binadamu kama walivyo wengine na wanatakiwa kupata mavazi, hewa safi na chakula kizuri na sio kupewa adhabu pekee.
For her information hata kitaa hizi basic needs za chakula, mavazi na malazi ni za kusua sua, na nyingine zinasababishwa na wao (yeye akiwemo) kuwa na Sera za Walamba Asali Wachache.

Mimi kama Mwananchi mlipa Kodi ningependa na hili aliangalie.
 
Et, Magereza ndio inawafanya, waloachiwa huru, wafanye makosa, warudi Tena mahakamani.

HIVI HUYU MTU, KWANN ANAKUA MWENYE UPUUZI ULIOPITILIZA?
 
Punguza ukali wa maneno

Hewa Safi. Si ajenge Magereza zenye muonekano ya IKULU?

Chakula Safi? Yaan Umeua, Umeiba, Usilime, uletewe Chakula?

Hivi huyu mtu anawaambiaje Raia wanaojiandaa mida Huu kutenda makosa?

UNAJUA, HATA KAMA ANASHINDANA NA FALSAFA ZA MAGUFULI, BASI ANGALAU AWE ANATUMIA AKILI KUFIKIRIA KABLA YA KYONGEA.

MTU UNAKUA MBWABWAJIKAJI,ALAFU UNABWABWAJA MABOKO NA MAMBO YA HOVYOOOOO.

HAKIKA JPM ALIKUA MWAMBA, PUMZIKA KWA AMANI JPM, BABA ULOKUA NA MAAKILI YALOPITILIZA

Nina wasiwasi sana, IQ ya huyu mtu Iko 70-79 .
 
Hajamsihi akale kulingana na urefu wa kamba yake?
 
Mambo makubwaaa kashindwa kuyazungumzia, anakuja kuzungumza Sanaa sanaaaa !!.

Mfumko wa Gharama za Maisha , vitu vimepanda Bei, hao wafungwa wasipotumikishwa , Inamaana Tozo zetu ziende Kuwalisha ????.

Mambo makubwa yamemshinda, anakuja na Siasa maji taka !!
 
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
Ongeza msuli poti naamini sasa hivi una sifa ya kupigania haki za wanyonge.
 
Huyu mama,sasa ataanza kuona rangi halisi ya Watz,maana watu walikua wametulia,wanaangalia labda ata-improve,ila sasa hali inazidi kubana,na walamba asali wamechachamaa kuinywa asali kabisa,sijui itakuaje?
 
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.

Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna ya kuendesha maisha yao mtaani.

Amesisitiza kuzingatia haki za binadamu kwa kuwa kuna wengine wamefanya makosa kwa bahati mbaya na wengine wametiwa hatiani kwa ushahidi wa kimazingira.
Wapewe huduma nzuri Kama zipi hizo ?
 
Safi.Ile haki ya kutembelewa na mwezi izingatiwe.Ila mahabusu na wafungwa wanawanyenyekea askari magereza nao askari wanapenda sana.
 
Back
Top Bottom