Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu.
Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna ya kuendesha maisha yao mtaani.
Amesisitiza kuzingatia haki za binadamu kwa kuwa kuna wengine wamefanya makosa kwa bahati mbaya na wengine wametiwa hatiani kwa ushahidi wa kimazingira.