SAWA nimekuelewa kwamba watu wa vetting walikupa taarifa nusu kabla hujamteua sio!!?
 
Kwamba wakati anateuliwa mwanzo, Rais hakujua kama mabeans ana CoI na TTCL?
 
Tatizo la kukatikakatika umeme si la mtu!!!!
Mitambo inaendelea kukarabatiwa!!
 
Wanatengeneza Tatizo then wanalitatua😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Watu wa vetting walikua wap wakati wanampeleka TTCL..

Mbona Kuna vijana wengi very ambitious na exposure plus ELIMU kwanini miaka nenda Rudi tunahangaika na kina maharage chande....

THE SQUARE ROOT OF SIXTY EIGHT IS EIGHT SOMETHING.....
 
Macho mnayo lakini hayaoni, masikio mnayo lakini hayasikii.

Kipofu tutegemee ataona jipya lipi? Kiziwi tutegemee atasikia jipya lipi?
Jipya la kuteua na kutengua kila siku!!!
Hiyo mitambo tuliambiwa na January inakarabatiwa bado tu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…