Not really.Huenda kweli akawa na nia ya kurejesha siasa za ushindani otherwise she is manipulating the opposition parties not the citzen
Hapo SasaKwani akiachia tume huru tatizo ni nini?
Maana ya tume huru ni pale ambapo chama tawala kinatoka madarakani.Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru.
Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru.
======
Samia Suluhu: Tume huru hizo na nini mtatulete mapendekezo, tume huru maana yake nini!
Iweje? Lakini angalieni na mifano ya waliokuwa na tume huru, Je hawana migogoro ya kisiasa? The so called 'Tume Huru'.
Kwa mfano majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru' lakini zinaendeshwaje? Hawana migogoro? Hawatangazi matokeo wakakimbia nchi kabisa?
Si hutangaza matokeo kisha wakakimbia! Nendeni nchi mbalimbali zenye hizo zinazoitwa tume huru, angalieni yanaendaje lakini tunaposema tume huru tunafata nini hasa huko kwenye tume huru.
Kitu gani kinatupa kiu tunahisi tutakipata kwenye tume huru huko na definition hasa ya tume huru ni nini?
===
Kuhusu maboresho ya sheria na kanuni za Uchaguzi, Rais Samia amesema watasema vipengele gani vinavyouma kwani inawezekana maboresho yakifanyika, kelele ya katiba inaweza ikaishia kwasababu zile kiu za watu zinapotaka katiba ibadilishwe ilishafanyiwa kazi.
PIA, Soma=> Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa
Sidhani kama kwa utashi wake anaweza kuamua kufanya jambo ambalo litavuruga maslahi ya wana-CCM wenzake hata kama lina maslahi kwa taifa.Namkubali Mama lakini naona kuna maeneo kama ana U-mbogamboga badala ya kukaa nyutro akaishepu nchi,dawa ya kuondoa malalamiko ni kutia kinachodaiwa,mambo mawili huwa mbogamboga hawayakubali na huenda hawatayakubali kitahisi ni TUME HURU NA KATIBA MOYA KABISA,siyo iliyokarabatiwa.
Haoa Mama atupatie vyote viwili,awe na legacy yake.
Kwanza viwepo hayo mengine baadaesasa maana yakuvitafuta hivyo vitu ni nini? kama hata vikiwepo migogoro bado inaendelea ...
Kauli yako inajipingaMimi sitaki tume huru wala katiba mpya.
Nataka watu waelimishwe kwanza wajitambue kabla ya kuvipata vyote hivyo.
Hakuna tija ya kuwa na vifaa vipya kabla ya kujifunza kwanza kuvitumia.
Tuondoane ujinga kwanza ndio twende huko.
kama tumeshindwa kuondoka huu ujinga ndani ya miaka yetu 60 ya uhuru basi tena - cha msingi twende na matakwa ya jamii yetu kwa sasa - na takwa la kwanza kabisa ni KATIBA MPYA.Mimi sitaki tume huru wala katiba mpya.
Nataka watu waelimishwe kwanza wajitambue kabla ya kuvipata vyote hivyo.
Hakuna tija ya kuwa na vifaa vipya kabla ya kujifunza kwanza kuvitumia.
Tuondoane ujinga kwanza ndio twende huko.
Tanzania tuna safari ndefu mno.Samia Suluhu: Tume huru hizo na nini mtatulete mapendekezo, tume huru maana yake nini!
Iweje? Lakini angalieni na mifano ya waliokuwa na tume huru, Je hawana migogoro ya kisiasa? The so called 'Tume Huru'.
Kwa mfano majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru' lakini zinaendeshwaje? Hawana migogoro? Hawatangazi matokeo wakakimbia nchi kabisa?
independent commission ndiyo maana ya Tume Huru.Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru.
Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru.
======
Samia Suluhu: Tume huru hizo na nini mtatulete mapendekezo, tume huru maana yake nini!
Iweje? Lakini angalieni na mifano ya waliokuwa na tume huru, Je hawana migogoro ya kisiasa? The so called 'Tume Huru'.
Kwa mfano majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru' lakini zinaendeshwaje? Hawana migogoro? Hawatangazi matokeo wakakimbia nchi kabisa?
Si hutangaza matokeo kisha wakakimbia! Nendeni nchi mbalimbali zenye hizo zinazoitwa tume huru, angalieni yanaendaje lakini tunaposema tume huru tunafata nini hasa huko kwenye tume huru.
Kitu gani kinatupa kiu tunahisi tutakipata kwenye tume huru huko na definition hasa ya tume huru ni nini?
===
Kuhusu maboresho ya sheria na kanuni za Uchaguzi, Rais Samia amesema watasema vipengele gani vinavyouma kwani inawezekana maboresho yakifanyika, kelele ya katiba inaweza ikaishia kwasababu zile kiu za watu zinapotaka katiba ibadilishwe ilishafanyiwa kazi.
PIA, Soma=> Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa
Pambaneni kwanza na Marehemu maana boss wenu katoka jela mmeanza kumtukana Marehemu ATI kawanyanyasa kaskazini, huku miradi ya maji ya Atown na Loliondo ikikamilika pamoja na ujenzi wa kiwanda Cha ngozi.Nashangaa mbona yeye ndie anakuwa kikwazo cha upatikanaji wa hiyo Tume Huru? anyway wengine hatutaki Tume Huru tunataka Katiba Mpya.
Halafu kama hajui maana ya Tume Huru kwanini asiulize akajibiwa kuliko kujitokeza hadharani na kuanza kutoa kauli zitakazoleta sintofahamu?
Vipi Zitto hawezi kumuelewesha rafiki yake kwenye hili?
Huyu Rais kama walivyo CCM wenzake hawana nia ya dhati ya kutupa Katiba Mpya wala Tume Huru ya uchaguzi, yote yanayoendelea kuunda timu zao za vikosi kazi vya uongo ni maigizo matupu, wananchi tusipoamua tutasubiri sana.
You are right. Every decision of this president is spinning around. She is a dangerous manipulatorHuenda kweli akawa na nia ya kurejesha siasa za ushindani otherwise she is manipulating the opposition parties not the citzen
Mtu yeyote atakayemtaja Mareham lazima nimtusi bahati yako hujataja jina la lile jini lililolala chattlePambaneni kwanza na Marehemu maana boss wenu katoka jela mmeanza kumtukana Marehemu ATI kawanyanyasa kaskazini, huku miradi ya maji ya Atown na Loliondo ikikamilika pamoja na ujenzi wa kiwanda Cha ngozi.Hata hamueleweki kabisa nyie kudai katiba mpya is a great joke
Huenda hao wana So called Tume Huru ila hawa Tume Huru
In short hata iliyopo duniani ni so called demokrasia lakini sio demokrasia ya kweli...
LAKINI..., faida ya hivi vitu ni kama wenzetu wanasheria wanavyosema -
“Justice should not only be done but should manifestly and undoubtedly be seen to be done”.
Kwahio watu wakiona kwamba TUME ni huru hata malalamiko / sababu / excuses zitapungua hence huenda tukahamia kwenye malalamiko na Kero nyingine..., ila sababu ya kwamba fulani ingawa anacho hiki ila analalamika sio mtaji wa kutokufanya hilo jambo...
KAMA Tume sio Huru kwanini tuendelee kuwanayo ? Si bora isiwepo kabisa hili hivyo vijisenti vikafanye mengine ?
Mimi sitaki tume huru wala katiba mpya.
Nataka watu waelimishwe kwanza wajitambue kabla ya kuvipata vyote hivyo.
Hakuna tija ya kuwa na vifaa vipya kabla ya kujifunza kwanza kuvitumia.
Tuondoane ujinga kwanza ndio twende huko.