Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

Kwa nini kila mara unapenda kurudia huu uongo na upotoshaji wako kwamba hakuna demokrasia ya kweli duniani??

Demokrasia iliyopo Canada sio ya kweli?
Sio Canada tu hata Ugiriki penyewe ambapo ilisemekana ilikuwa incepted...

Angalau wanaopractice direct democracy wanaweza kidooogo kusema wana pure democracy napo ni Uswisi kwenye cantons za Appenzell, Innerrhoden and Glarus. Though its unpracticability has seen most kuachana nayo na kuendelea na huu usanii...
 
Pure democracy inakujae?
 
Kwani akiachia tume huru tatizo ni nini?
Maza anajifanya kuzunguka zunguka lakini sababu kubwa anataka kuvuta muda ili 2025 apite kirahisi kama walivyo fanya 2020. Hakuna haja ya mfano ya nchi nyingine bali tutengeneze Tume yetu wenyewe kwa jinsi tunavyoona.
 
Namkubali Mama lakini naona kuna maeneo kama ana U-mbogamboga badala ya kukaa nyutro akaishepu nchi,dawa ya kuondoa malalamiko ni kutia kinachodaiwa,mambo mawili huwa mbogamboga hawayakubali na huenda hawatayakubali kitahisi ni TUME HURU NA KATIBA MOYA KABISA,siyo iliyokarabatiwa.

Haoa Mama atupatie vyote viwili,awe na legacy yake.
Mazaa ndo mboga mboga nambari wani kwa sasa! Si ndo mkalia kigoda wa hiyo michicha?!
 
Sasa maana yakuvitafuta hivyo vitu ni nini? kama hata vikiwepo migogoro bado inaendelea ...
Acha kutetea hoja dhaifu! Mwambie alete katiba mpya mezani kwani ndio hitaji la wananchi! Emotions na uoga wake wa kupoteza aweke pembeni!
Atambue kuwa anaongoza watu na watu hao wanahitaji katiba mpya na siyo viraka kwenye katiba ya zamani!
 
Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru.

Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru.

======

Samia Suluhu: Tume huru hizo na nini mtatulete mapendekezo, tume huru maana yake nini!

Iweje? Lakini angalieni na mifano ya waliokuwa na tume huru, Je hawana migogoro ya kisiasa? The so called 'Tume Huru'.

Kwa mfano majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru' lakini zinaendeshwaje? Hawana migogoro? Hawatangazi matokeo wakakimbia nchi kabisa?

Si hutangaza matokeo kisha wakakimbia! Nendeni nchi mbalimbali zenye hizo zinazoitwa tume huru, angalieni yanaendaje lakini tunaposema tume huru tunafata nini hasa huko kwenye tume huru.

Kitu gani kinatupa kiu tunahisi tutakipata kwenye tume huru huko na definition hasa ya tume huru ni nini?

===

Kuhusu maboresho ya sheria na kanuni za Uchaguzi, Rais Samia amesema watasema vipengele gani vinavyouma kwani inawezekana maboresho yakifanyika, kelele ya katiba inaweza ikaishia kwasababu zile kiu za watu zinapotaka katiba ibadilishwe ilishafanyiwa kazi.

PIA, Soma=> Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa
inatakiwa tume huru yenye matokeo ya uhuru,ni vema kuiga nchi zilizokuwa na tume huru yenye misingi ya uwazi kama kuna nchi inatangaza matokeo kisha wanakimbia hapo ni swala la katiba maana lazima kipo kinachowatisha, maana hakuna chama chenye jeshi majeshi yote niyawananchi nawanaowakimbiza ni vyama tawala kwakutumia majeshi ya wananchi pale wanaposhindwa chaguzi, nivema kukawa na sheria ya uchaguzi majeshi yasiingilie mchakato wa uchaguzi na badala yake wawe wasimamizi wa haki.
 
Pure democracy inakujae?
Democracy is power to the people they have power in all decision makings, the best democracies ambazo zipo ni representative democracy ambapo mawazo / matakwa ya wengi yanafanyika through representatives (ila hapo unakuta kinachofanyika siyo hivyo na hata hao representatives sio kweli chaguo la wengi), through lobbying and bribing the few can have their decisions made...

Tukija angalau kwenye direct democracy kila mtu ana uwezo wa kutoa decisions directly not through representatives na hio kwenye dunia inapatika huko Swiss (at least practically it comes closer to the theory)
 
Sahihi kabisa Mh.Rais

Kuna Wanasiasa wakubwa tu hawajui hata tofauti ya Tume huru na Tume yenye wawakilishi wa Vyama

Kabla ya kuundwa kinachoitwa Tume huru kwanza watu wapewe elimu ya kujua Tume huru ipoje ipoje lakin pia waelezwe Tume huru sio muarobaini wa kila changamoto ya Uchaguzi na ndio sababu kwa majirani zetu nyakati za Uchaguzi huwa kinanuka vya kutosha japo kuna Tume huru na hiyo Katiba Mpya
Pohamba umezeeka Sana .
 
Yeye alete tume huru, maana take adiyo weza kuiinhilia kwa njia yoyote ile, halafu hayo mengine yatajitengeneza yenyewe, asitutishe juu ya migogoro. Hoja yetu sio kuondoa migogoro, hoja ni kumzuia raisi kulazimisha ushindi wake na chama chake kama 2020.
Kwa hiyo wewe unaakili kuliko Mheshimiwa Kikwete alieona kuna umuhimu wa nchi kuwa na katiba mpya na akaamua kuunda tume kukusanya maoni ya Wananchi ili tupate katiba mpya?Msitake kuwafanya Watanzania ni mazezeta wanajua kabisa umuhimu wa katiba mpya,jambo zuri ni kwamba katiba mpya itakuja tu muda sio mrefu na mwakani tutaandika katiba mpya sio kwa uwezo wa CCM lakini kwa nguvu na uwezo wa MUNGU.
 
Mimi sitaki tume huru wala katiba mpya.

Nataka watu waelimishwe kwanza wajitambue kabla ya kuvipata vyote hivyo.

Hakuna tija ya kuwa na vifaa vipya kabla ya kujifunza kwanza kuvitumia.

Tuondoane ujinga kwanza ndio twende huko.
Vipi hukumbuki Watanzania walihojiwa na wakatoa maoni yao kuhusu katiba mpya mwaka 2012 na Rasimu ikaandikwa?
 
Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru.

Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru.

======

Samia Suluhu: Tume huru hizo na nini mtatulete mapendekezo, tume huru maana yake nini!

Iweje? Lakini angalieni na mifano ya waliokuwa na tume huru, Je hawana migogoro ya kisiasa? The so called 'Tume Huru'.

Kwa mfano majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru' lakini zinaendeshwaje? Hawana migogoro? Hawatangazi matokeo wakakimbia nchi kabisa?

Si hutangaza matokeo kisha wakakimbia! Nendeni nchi mbalimbali zenye hizo zinazoitwa tume huru, angalieni yanaendaje lakini tunaposema tume huru tunafata nini hasa huko kwenye tume huru.

Kitu gani kinatupa kiu tunahisi tutakipata kwenye tume huru huko na definition hasa ya tume huru ni nini?

===

Kuhusu maboresho ya sheria na kanuni za Uchaguzi, Rais Samia amesema watasema vipengele gani vinavyouma kwani inawezekana maboresho yakifanyika, kelele ya katiba inaweza ikaishia kwasababu zile kiu za watu zinapotaka katiba ibadilishwe ilishafanyiwa kazi.

PIA, Soma=> Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa
Inarakiwa tume huru ya uchaguzi kwani kuna tatizo gani kuwa nayo hata ikitokea migogoro si inatatuliwa kuliko ilivyo nibya mmoja kwa mamlaka ya aliye juu na vyombo vya usalama ambavyo kabisa havitakiwi kuwa uoande huo.
 
Nashangaa mbona yeye ndie anakuwa kikwazo cha upatikanaji wa hiyo Tume Huru? anyway wengine hatutaki Tume Huru tunataka Katiba Mpya.

Halafu kama hajui maana ya Tume Huru kwanini asiulize akajibiwa kuliko kujitokeza hadharani na kuanza kutoa kauli zitakazoleta sintofahamu?

Vipi Zitto hawezi kumuelewesha rafiki yake kwenye hili?

Huyu Rais kama walivyo CCM wenzake hawana nia ya dhati ya kutupa Katiba Mpya wala Tume Huru ya uchaguzi, yote yanayoendelea kuunda timu zao za vikosi kazi vya uongo ni maigizo matupu, wananchi tusipoamua tutasubiri sana.

Panatakikana mpango kazi wa wazi wa kupata katiba mpya sasa.

Haitakuwa rahisi. Lazima tuwe tayari kulipa gharama.
 
Lakini angalieni na mifano ya waliokuwa na tume huru, Je hawana migogoro ya kisiasa?
Kwanza ameshakiri kuwa hatuna TUME HURU.....
Above all, anatuambia tume huru siyo solution and so hakuna haja ya kuwa na tume huru......
Hakika anaupiga mwingi 😂😂😂
 
Democracy is power to the people they have power in all decision makings, the best democracies ambazo zipo ni representative democracy ambapo mawazo / matakwa ya wengi yanafanyika through representatives (ila hapo unakuta kinachofanyika siyo hivyo na hata hao representatives sio kweli chaguo la wengi), through lobbying and bribing the few can have their decisions made...

Tukija angalau kwenye direct democracy kila mtu ana uwezo wa kutoa decisions directly not through representatives na hio kwenye dunia inapatika huko Swiss (at least practically it comes closer to the theory)
Unaposema decisions unamaanisha mawazo/matakwa/mahitaji? Unaweza kutofautisha kati ya maamuzi na mahitaji "demands"?

Chukulia uko kwenye direct democracy ambayo wewe unaitafsiri kama ndio "PURE", Kuna watu 12, 7 wanataka maji ya bomba na 3 wanataka ndege halafu maji yakaletwa kwanza kabla ya ndege wangapi watakuwa wametoa mawazo na wangapi watakuwa wamefanya decisions ? Hao watakaokuwa wamefanya decisions hoja ya maji ipite kwanza ni kina nani?
 
"through lobbying and bribing the few can have their decisions made..."

Leta mifano mitatu kwa haya malalamiko yako dhidi ya demokrasia kwa kutumia nchi za Ulaya ,Marekani na Canada.

Naamisha decisions....
Matakwa na mahitaji ni moja ya shortcomings za democracy sababu kuna kitu kinaitwa the Tyranny of the Majority... ukizingatia sio kila kinachosemwa kinachopendwa na wengi ni sahihi..., hivyo demokrasia even in its purest form inaweza ikaleta shida hizo..., ila hapa naongelea decision making (uchaguzi wa kipi kifanyika na opportunity ya kila mmoja kufanya hivyo)
Chukulia uko kwenye direct democracy ambayo wewe unaitafsiri kama ndio "PURE", Kuna watu 12, 7 wanataka maji ya bomba na 3 wanataka ndege halafu maji yakaletwa kwanza kabla ya ndege wangapi watakuwa wametoa mawazo na wangapi watakuwa wamefanya decisions ? Hao watakaokuwa wamefanya decisions hoja ya maji ipite kwanza ni kina nani?
wote watakuwa wamefanya decisions sababu wote wame-vote na walioshinda ndio hivyo inabidi wapewe (ni watu ndio wamechagua)

Ila in real sense what happens kwenye representative democracy lobbyist wanaongea na wale few decision makers wanawashawishi whichever they want to pass and it will pass (be voted upon by the few); na kama wale wabishi wanaokwenda kinyume usishangae next election wakapigwa chini sababu ya wenye pesa ku-back their own candidate mwenye matakwa yao... Mbaya zaidi in most countries even the wanaokuja kugombea kushindanishwa ni wateule wa Chama Fulani (hence mpiga Kura / mtaka muwakilishi huenda hata katika choice hakuna chaguo lake)
 
"through lobbying and bribing the few can have their decisions made..."

Leta mifano mitatu kwa haya malalamiko yako dhidi ya demokrasia kwa kutumia nchi za Ulaya ,Marekani na Canada.
Hata bila kuwaza sana President Bush kwa kuwa na urafiki na Kampuni ya Enron alipush kubadilisha Sera za Energy (kufanya Energy iweze kuuzwa kama vile stock nyingine) na kuwapa financial leeway Kampuni ya Enron...., Kilichotokea ni Books kuwa Cooked na watu kupiga Pesa za kufa mtu matokeo yake Kampuni ikafa na watu kutumia kuzima umeme kila wanavyotaka (ili prices ziende juu) kule California ambako walimconvince governor akubaliane na hili lifanyike kwenye state yake (Enron Scandal)

Deregulation ya Banks ilipelekea financial Crisis...

Unawajua the Koch Brothers hawa influence yao kwa Republicans na politics inahakikisha wabunge wote wenye Sera zinazoendana na zao lazima wanachaguliwa (they finance them)..., Vilevile Lobbying is Legal..., kila kampuni au corporation kubwa ina lobbyists na wale kazi siku January mpaka January ni kuwa-convice wapitisha Sera ni Sera gani zipite na kwao inakuwa rahisi hata kitu kikiwa kwenye pipeline na kinaweza kupita wanaweza kujua miezi hata miaka kabla hakijapitishwa

Vipi UK na Scandal ya Lordship for hire Scandal na chama cha Labor?

Need I say more...., na hapa zote hizi nimezotoa on top of my head bila kuanza kufuta futa misahafu....
 
Kwani lazima kugeza hao majirani zetu? Hatuwezi kuja na tume huru yenye misingi ya Tanzania?

Pia, kwani tume huru zote duniani zimefeli? Hakuna nchi iliyofanikiwa?

Kwa nini tunaangalia kwenye migogoro na hatuangalii waliofanikiwa?
 
Back
Top Bottom