Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

Anajua kuwa akienda kuwafanyia uhalifu Wapinzani hakuna Mtu ndani ya CCM atakaemchukulia hatua.

Ndio maana ya kupelekwa kwenye Ngome ya CHADEMA.
Akileta ubabe wake wa kishamba tutamalizana naye kimila tu.
 
Rais Samia kwenye hafla ya kuapisha viongozi mbalimbali amesema Paul Makonda amekuta chama cha ccm kimelala usingizi wa pono na akakichemsha na sasa kila mtu amemka anataka kufanya kazi kuwatumikia wananchi, hasa wale wanyonge.

Rais Samia amemtaka Makonda kwenda kuuchemsha pia mkoa wa Arusha ili uachane na harakati za kichadema na ujikite kuvutia watalii wengi zaidi.


View: https://youtu.be/nhk6vELtTjA?si=F1l6njBYDB6YLkn2
 
...wataushika ule msambwanda wa Bashite mchapa peupee!.
 
Sometimes huyu mama ana lugha Fulani hivi za kidemkrasia lakini ni za kimedani!!

Sijui ni kwanini aliingizwa mkenge na yeye akaingia!!kampeni za urais za mapema zinachakaza na kumzeesha kisiasa !so sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…