Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Usikute hapo kuna watu wamenunua tayari 😁Mama kashindwa kuficha uchama kwenye mambo ya Utendaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute hapo kuna watu wamenunua tayari 😁Mama kashindwa kuficha uchama kwenye mambo ya Utendaji
Sasa hapo Magogoni si karibu na kwetu? Au haujui hiyo?Mama Dodoma hapataki kabisa.
Nyuma Mwiko - Kama Yanga vile…Safi sana,CCM mbele kwa mbele
Sasa Mkuu na wao wasipate hako ka-per-diem? Utakuwa haujawatendea haki..Hivi Vice President, waziri mkuu na Spika nao ni lazima kila kwenye kuapisha watu wawepo? hawana shughuri nyingine?
Hiyo ndio moja ya shughuli zao, unataka kuwaona wakiendesha boda boda??Hivi Vice President, waziri mkuu na Spika nao ni lazima kila kwenye kuapisha watu wawepo? hawana shughuri nyingine?
Ameshaapa mara nyingi huyoWakapige Kazi sasa