Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

Tunataka demokrasia kiongozi ndani ya chama chetu, Urais 2025 wanachama wote tupewe nafasi tuchuane kwa usawa.
 
Maarifa ya kufanya maisha ya watanganyika kuwa magumu zaidi.
 
Digrii za kusomea ndio humuongezea mtu maarifa na ujuzi katika uongozi. Hizi za kupewa ni mapambo tu haziongezi lolote.
 
Ndani ya CCM Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Rais Samia
Utakua unaota, CCM ni Chama kikubwa na kina watu wengi wenye sifa za uongozi. Haiwezi kamwe kuendekeza watu wanaobudu utajiri na wanaoendekeza ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
 
Utakua unaota, CCM ni Chama kikubwa na kina watu wengi wenye sifa za uongozi. Haiwezi kamwe kuendekeza watu wanaobudu utajiri na wanaoendekeza ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Fomu Ni Moja tu kwa ajili ya Rais wetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Ya kupotea watu kwenye utawala wake
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana kabisa.hawaelewi washike lipi na waache lipi,wamsikilize nani na wamfuate nani kati ya Mbowe na Lissu. Kila uchao wanaona na kushuhudia kwa macho yao chama kikizama shimoni
Sema msambwanda na yule chawa wa mbowe bwana erythrocyte mnawadharilisha sana wanaume wa mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…