Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Acha ujinga dogo 😀Yeye ni PS huwa anachapa barua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga dogo 😀Yeye ni PS huwa anachapa barua
Una kazi gani wewe mjingaAcha ujinga dogo 😀
Mimi ni mkulimaUna kazi gani wewe mjinga
Labda unalima chawaMimi ni mkulima
Moshi unakuharibu sana dogo.Labda unalima chawa
Nenda kanisani j2 ukatubu huu ujinga wakoMoshi unakuharibu sana dogo.
Kwanini usiende wewe ukafanyiwe maombi maalumu ili uponeNenda kanisani j2 ukatubu huu ujinga wako
Mi mzima ndiyo maana naipenda nchi yanguKwanini usiende wewe ukafanyiwe maombi maalumu ili upone
Hata wale vichaa wa Mirembe hujiona wazima sana kuliko madaktari wao.Mi mzima ndiyo maana naipenda nchi yangu
Kwamba UWT nzima wewe ndiyo una hoja?Hata wale vichaa wa Mirembe hujiona wazima sana kuliko madaktari wao.
Mimi siyo UWT.uwe na adabu dogo.Kwamba UWT nzima wewe ndiyo una hoja?
Toa ujinga wakoMimi siyo UWT.uwe na adabu dogo.
🤣🤣🤣😅😅 Hata zero pia ni namba!Rais Samia ni darasa tosha.kwa hiyo ukitaka kukuza uwezo wako wa kufikiri na kuongeza maarifa.basi jitahidi uwe unasikiliza hotuba zake.
Sasa mbona unafanana nao?Mimi siyo UWT.uwe na adabu dogo.
Zilaaniwe Shahawa zilizokuzaa CHOKO weweNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi mwenye Maono, akili kubwa, upeo, maarifa na kipaji cha uongozi. Imeonyesha namna Rais wetu alivyomtanguliza Mungu katika uongozi wake.
Pengine hii ndio sababu ya kuona mambo yakienda vyema na baraka na neema zikitawala na kutamalaki hapa Nchini pasipo kupatwa na Majanga makubwa au misukosuko au migawanyiko katika Taifa letu.
Rais wetu Mpendwa kipenzi cha mamilioni ya watanzania akiwa mkoani Morogoro hii leo. Amesema ya kuwa Mapito ya kiuongozi aliyopitia pamoja na kushika nyadhifa mbalimbali imekuwa nguzo ya kumuongezea maarifa katika kuwaongoza watu.
Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia akaendelea kusema kuwa anamshukuru sana Mungu kwa kuendelea kuonyesha njia ya kuongoza Taifa letu. Hii maana yake nini ndugu zangu Watanzania?
Hii maana yake ni kuwa Rais wetu Mpendwa amekuwa mtu mwenye kumtegemea na kumtumainia Mungu katika uongozi wake na hata katika kufanya maamuzi. Ikumbukwe na kufahamika ya kuwa Mungu ndiye mtoa maarifa na njia kwa Mwanadamu na yeyote amchaye hawezi kupotea Njia.
Hawezi kujikwaa ,hawezi kuyumba wala kuyumbishwa ,hawezi kuwapoteza watu wake,hawezi kuliingiza Taifa shimoni ,hawezi kulipeleka Taifa gizani kwa sababu mbele yake upo Mkono wa Mungu umuongozao njia na Uso wake u pamoja naye na yeye Mungu Yupo ndani yake Rais wetu.
Ndio Maana siku zote huwaambieni kuwa huyu Mama ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe.Ndio Maana ya kuja na 4R ili kuwaleta pamoja watanzania na kuishi pamoja kama Taifa. Kwa hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na hawezi kushushwa na mwanadamu mwenye chuki binafsi.
Embu angalia tu hata namna anavyozungumza kwa upole, upendo,ukarimu, unyenyekevu na heshima kubwa sana.tofauti na mwingine angekuwa na madaraka ya Urais ungeona akifokea na kuwatukana watu bila sababu, kuwadhalilisha,kuwatweza utu wao,kuwaumiza kwa maneno machafu mbele ya familia zao na watoto wao, kujiona yeye ndiye mwenye akili kuliko wengine na asiyetakiwa kushauriwa au kupokea ushauri wa mtu.
Lakini huyu Mama Mwenye hofu ya Mungu kifuani pake na aliyelelewa akaleleka ,aliyefundwa akafundika,mwenye heshima zake,busara zake na staha zake unaona akiwa mwenye ulimi wa haki kwa wote pasipo ubaguzi. Kwa hakika itatuchukua miaka mingi sana kumpata Mama Samia mwingine katika Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake hapo 2030View attachment 3160470
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni kwasababu akili yako ni ndogoSasa mbona unafanana nao?
Maarifa gani ameongezewa uchumi umeshuka,Shilingi haina kazi tena,ufisadi kila kona kama hayo ndio maarifa aliyoyapata nitamuelewa.Ndugu zangu Watanzania,

Mwambie Rais wako na Mkwe wake waruhusu DEMOKRASIA ili wajue watanzania wanampenda Huyo SAMIA au hawataki hata kumuona sura yake pale ikulu.Waambie wajaribu waone,hapo ndio unaambiwa sumu haijaribiwiNdio Maana anapendwa sana na mamilioni ya watanzania.ndio sababu CHADEMA wamejikatia kabisa tamaa ya kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani na hawaelewi wala kumuona mtu mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia
Hofu ya Mungu na kifo ni kifo tu wapi na wapi? Mapito wanapitia akina Ruto huko Kenya. Hapa mihimili yote, vyombo vyote vya ulinzi vinamsaidia kusigina haki za watanzania maskini. Kuna mapito gani ?Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi mwenye Maono, akili kubwa, upeo, maarifa na kipaji cha uongozi. Imeonyesha namna Rais wetu alivyomtanguliza Mungu katika uongozi wake.
Pengine hii ndio sababu ya kuona mambo yakienda vyema na baraka na neema zikitawala na kutamalaki hapa Nchini pasipo kupatwa na Majanga makubwa au misukosuko au migawanyiko katika Taifa letu.
Rais wetu Mpendwa kipenzi cha mamilioni ya watanzania akiwa mkoani Morogoro hii leo. Amesema ya kuwa Mapito ya kiuongozi aliyopitia pamoja na kushika nyadhifa mbalimbali imekuwa nguzo ya kumuongezea maarifa katika kuwaongoza watu.
Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia akaendelea kusema kuwa anamshukuru sana Mungu kwa kuendelea kuonyesha njia ya kuongoza Taifa letu. Hii maana yake nini ndugu zangu Watanzania?
Hii maana yake ni kuwa Rais wetu Mpendwa amekuwa mtu mwenye kumtegemea na kumtumainia Mungu katika uongozi wake na hata katika kufanya maamuzi. Ikumbukwe na kufahamika ya kuwa Mungu ndiye mtoa maarifa na njia kwa Mwanadamu na yeyote amchaye hawezi kupotea Njia.
Hawezi kujikwaa ,hawezi kuyumba wala kuyumbishwa ,hawezi kuwapoteza watu wake,hawezi kuliingiza Taifa shimoni ,hawezi kulipeleka Taifa gizani kwa sababu mbele yake upo Mkono wa Mungu umuongozao njia na Uso wake u pamoja naye na yeye Mungu Yupo ndani yake Rais wetu.
Ndio Maana siku zote huwaambieni kuwa huyu Mama ni chaguo la Mungu na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe.Ndio Maana ya kuja na 4R ili kuwaleta pamoja watanzania na kuishi pamoja kama Taifa. Kwa hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na hawezi kushushwa na mwanadamu mwenye chuki binafsi.
Embu angalia tu hata namna anavyozungumza kwa upole, upendo,ukarimu, unyenyekevu na heshima kubwa sana.tofauti na mwingine angekuwa na madaraka ya Urais ungeona akifokea na kuwatukana watu bila sababu, kuwadhalilisha,kuwatweza utu wao,kuwaumiza kwa maneno machafu mbele ya familia zao na watoto wao, kujiona yeye ndiye mwenye akili kuliko wengine na asiyetakiwa kushauriwa au kupokea ushauri wa mtu.
Lakini huyu Mama Mwenye hofu ya Mungu kifuani pake na aliyelelewa akaleleka ,aliyefundwa akafundika,mwenye heshima zake,busara zake na staha zake unaona akiwa mwenye ulimi wa haki kwa wote pasipo ubaguzi. Kwa hakika itatuchukua miaka mingi sana kumpata Mama Samia mwingine katika Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake hapo 2030View attachment 3160470
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bila shaka umepofuka akili na macho ndio maana huoniMaarifa gani ameongezewa uchumi umeshuka,Shilingi haina kazi tena,ufisadi kila kona kama hayo ndio maarifa aliyoyapata nitamuelewa.