Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

Mwambie Rais wako na Mkwe wake waruhusu DEMOKRASIA ili wajue watanzania wanampenda Huyo SAMIA au hawataki hata kumuona sura yake pale ikulu.Waambie wajaribu waone,hapo ndio unaambiwa sumu haijaribiwi
Unataka demokrasia ya Aina gani zaidi ya hii tuliyo nayo hapa Nchini?
 
Unataka demokrasia ya Aina gani zaidi ya hii tuliyo nayo hapa Nchini?
*Demokrasia hii hii ambayo Rais anateua karibia robo tatu ya watendaji tena bila kuhojiwa na yeyote?
**Demokrasia hii hii ambayo wasimamizi wa chaguzi ni wateule wa Rais kusimamia chaguzi dhidi ya wapinzani wake na wa chama chake?
***Demokrasia hii hii ambayo wapinzani wa mama yenu wanatekwa, kuteswa na kuuliwa kila kukicha?

Hakika unahitaji akili zinazopwaya kuamini hiyo ni Demokrasia!
 
Na mimi ni mwana CCM ambapo kwa umoja wetu tumeamua kuwa Fomu ya Urais itakuwa ni moja tu.
Uzuri wa CHAWA muda wowote atabadilisha gia angani. 2025 ukipata uhakika kuwa hata kwenye ugombea hayupo utageukia upande ambao upepo umeelekea. Ila uhakika 2025 ndio utajua CCM ni ya wana CCM na si mali ya familia.
 
Back
Top Bottom