Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

Zilaaniwe Shahawa zilizokuzaa CHOKO wewe
 
Maarifa gani ameongezewa uchumi umeshuka,Shilingi haina kazi tena,ufisadi kila kona kama hayo ndio maarifa aliyoyapata nitamuelewa.
 
Ndio Maana anapendwa sana na mamilioni ya watanzania.ndio sababu CHADEMA wamejikatia kabisa tamaa ya kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani na hawaelewi wala kumuona mtu mwenye uwezo wa kushindana na Rais Samia
Mwambie Rais wako na Mkwe wake waruhusu DEMOKRASIA ili wajue watanzania wanampenda Huyo SAMIA au hawataki hata kumuona sura yake pale ikulu.Waambie wajaribu waone,hapo ndio unaambiwa sumu haijaribiwi
 
Hofu ya Mungu na kifo ni kifo tu wapi na wapi? Mapito wanapitia akina Ruto huko Kenya. Hapa mihimili yote, vyombo vyote vya ulinzi vinamsaidia kusigina haki za watanzania maskini. Kuna mapito gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…