Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Unataka demokrasia ya Aina gani zaidi ya hii tuliyo nayo hapa Nchini?Mwambie Rais wako na Mkwe wake waruhusu DEMOKRASIA ili wajue watanzania wanampenda Huyo SAMIA au hawataki hata kumuona sura yake pale ikulu.Waambie wajaribu waone,hapo ndio unaambiwa sumu haijaribiwi
Bora akili ndogo inayojitegemea na kuwaza kwa ufasaha kuliko kubwa inayopwaya!π π€£π πNi kwasababu akili yako ni ndogo
*Demokrasia hii hii ambayo Rais anateua karibia robo tatu ya watendaji tena bila kuhojiwa na yeyote?Unataka demokrasia ya Aina gani zaidi ya hii tuliyo nayo hapa Nchini?
Kubwa ni kubwa tu.Bora akili ndogo inayojitegemea na kuwaza kwa ufasaha kuliko kubwa inayopwaya!π π€£π π
Unapwaya na kumbwela mbwela! Jitathmini kabla hawajakukengeusha!π€£π π€£Kubwa ni kubwa tu.
Hata nikipofuka Akili naamin kabisa hata mbele ya MUNGU wetu siwezi kukuzidi ww mwasha mbwa.Bila shaka umepofuka akili na macho ndio maana huoni
Uzuri wa CHAWA muda wowote atabadilisha gia angani. 2025 ukipata uhakika kuwa hata kwenye ugombea hayupo utageukia upande ambao upepo umeelekea. Ila uhakika 2025 ndio utajua CCM ni ya wana CCM na si mali ya familia.Na mimi ni mwana CCM ambapo kwa umoja wetu tumeamua kuwa Fomu ya Urais itakuwa ni moja tu.
Sijui Wengine hua wanasikilizaje hotuba hasa za viongozi wao wa juu,Hicho choo hakijawai kutoa hotuba ikaeleweka!
Sijawai kumuelewa. Hana mtiririko wa hotuba wenye hoja. Kifupi it is all about her!Sijui Wengine hua wanasikilizaje hotuba hasa za viongozi wao wa juu,
Au ni utindio tu wa ubongo unawafanya waone vitu namna ya tofauti na uhalisia