Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Akiwemo huyo aliyekamatwa, maana nae ni mwanasiasa.Sifa kuu ya Mwanasiasa ni Uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwemo huyo aliyekamatwa, maana nae ni mwanasiasa.Sifa kuu ya Mwanasiasa ni Uongo.
Tuna serikali katili snAkina Rugemalila wako sero sasa mwaka wa tano. Kusema kuwa sheria itachua mkondo wake haitoshi ...... Dhulma huwa haina tabia ya kujificha. Hata serikali za Makaburu na Wakoloni, sheria zilichukua mkondo wake ....!!
Ana uzuri gani amekakamaa kama mchongoma au weupe unakutisha swahiba?Kisura mzuri shida roho
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake.
Wafuasi wa Bwana Mbowe wanadai kuwa mashtaka haya yamechochewa kisiasa.
Aidha katika suala la demokrasia na uhuru wa kujieleza Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wana uhuru wa kutosha.
BBC
Huyu bibi achunguzwe kwa kile kilichotokea 17/03Hata mimi kuniambia ukasema "nadhani" basi hapo sikuamini tena sababu huna uhakika
Kajifundishe Kiswahili,neno kudhani,katika kiswahili,lina maana nyingi,mojawapo unaposema,nadhani,ni kuwa na uhakika na unachosema.Ni kama mtu kuulizwa,"Utaendelea kusoma?"Na akajibu "Nadhani,hapa ndio mwisho".Ikiamanisha kuwa ana UHAKIKA,haendelei tena kusoma.Rais SSH amehojiwa na Salim Kikeke wa BBC Swahili, kwa mtazamo wangu, yeye kama Rais hakutakiwa kutawaliwa na matumizi ya neno "nadhan"! Yaani majibu na maelezo yake yote yeye ni kudhani tu.
Kuna umuhimu wa kufundishwa namna nzuri ya kujibu maswali kama kiongozi wa nchi. Huku kudhani, unadhani means huna uhakika.
![]()
Mahojiano Maalum na Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe hayajachochewa kisiasa - BBC News Swahili
Haya ni mahojiano rasmi ya kwanza kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na BBC yaliyogusia masuala mbalimbali yakiwemo hali ya kisiasa nchini Tanzania, janga la corona na maisha ya urais.www.bbc.com
Kajifundishe Kiswahili,neno kudhani,katika kiswahili,kina maana nyingi,mujawapo unaposema,nadhani,ni kuwa na uhakika na unachosema.Ni kama mtu kuulizwa,"Utaendele kusoma?Na akajibu "Nadhani,hapa ndio mwisho".Ikiamanisha kuwa ana UHAKIKA,haendelei tena kusoma.Rais SSH amehojiwa na Salim Kikeke wa BBC Swahili, kwa mtazamo wangu, yeye kama Rais hakutakiwa kutawaliwa na matumizi ya neno "nadhan"! Yaani majibu na maelezo yake yote yeye ni kudhani tu.