Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

.Anajifanya hajui wakati yeye ndiyo aliwaambie wafanye huo unyama.kama ameumizwa Kwa Nini Hadi Sasa hatujapewa majibu ya uchunguzi?.uchunguzi Hadi lini wakati wauwaji wanajulikana.
Nataka niungane nao niseme kwamba kwa sababu yoyote ile mauaji haya hayakubaliki," amesema Rais Samia" Nadhani angeishia tu hapo, angeeleweka zaidi kwa Watanzania. Kule alikojielekeza zaidi katika kuhutubia kwake, hakukuwa na ulazima. Her further comments on the matter has backfired with comments of all sorts and condemnations to part of her speech that in fact was irritating to the victims relatives and the general public. May be should consider an Apology .
 
Hizi ni dhana potofu za kimaskini zenye milengo ya kidini zaidi.

Ipo tofauti kubwa baina ya kuuwawa na kufa kifo cha kwaida.

Kwenye kuuwawa shuruti wahusika kuwajibishwa.
Ni kweli.

Kipindi kile shujaa wa afrika amefariki je angeweza kutamka kuwa kifo ni kifo tuu?
 
Taarifa hii bado watanganyika hatujapewa majibu!
UWT tupeni majibu!
 
Kifo ni kifo .....unachunguza nini ? Kazi za ndani na kinga umewapa mwenyewe bungeniii??
 


Tatizo la Mama yetu huyu amekuwa muongo muongo sana. Sasa watanzania wamemshitukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…