Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Katiba ni haki ya watz.Ni aibu kizazi cha sasa kuongozwa na katiba iliyokufa.
 
Dunia mzima kuna utaratinu kwamba kesi ya aina yeyote ile ikishafika mahakamani hairuhusiwa law mtu au taasisi yeyote ile kuzungumzia mwenendo wa kesi .Tulimsikia Sirro na Rais wakiendelea kutoa hukumu kuhusu mwendelezo wa kesi ya Mbowe.Kama mkuu wa kesho la polisi na Rais wa Tanzania wanatoa maelezo kuhusu kesi ya Mbowe je hali itatendeka katika hukumu ?, Mpaka sasa hivi kesi hii inastahili kufutwa kwa viongozi hao wawili kwa kuingilia mwendelzo wa kesi
 
Wakati baba yake Mbowe anadai uhuru wa nchi yetu hii baba za wengine walikuwa wanawapikia chai wakoloni.. ( chawa)

Leo wanageuka na kumwita ati Mbowe Gaidi ...
Una mtazamo mzuri ila hoja yako inakosa logic

Kua mtoto wa mpigania uhuru haikuondoi kutotenda jinai

Tusubiri mahakama ifanye maamuzi, kama hakuna ushahidi wa kutosha ataachiwa.
 
Mama ni kilaza aliepata hiyo nafasi kwa bahati,2025 atatupwa aendelee kurembua
 
Napata analogy moja .Nakumbuka Biden ,Obama na mkewe ,Maxine Waters walifanya kitu kama hichi hichi Kabla hukumu ya kesi ya Derek Chauvin kutolewa,huyo Waters alienda mbali na kuanza kutishia jurors wa ile kesi,news outlets nyingine zikatishia kuvujisha majina ya jurors wa hyo kesi kama hukumu haitaenda upande wao,,hawakufanywa kitu...

Ki-ufupi Hakuna haki duniani
 
Una mtazamo mzuri ila hoja yako inakosa logic

Kua mtoto wa mpigania uhuru haikuondoi kutotenda jinai

Tusubiri mahakama ifanye maamuzi, kama hakuna ushahidi wa kutosha ataachiwa.
Watanzania wote wanajua mbowe si Gaidi... justification kwenu CCM mbowe ni gaidi ni ngumu.mno.

Terrorist ni mfumo..tena mfumo hatari mno....na ndiyo maana Marekani, Europe union, Uingeleza na nchi zote zinazopambana na UGAIDI duniani wanataka kujua ugaidi wa Mbowe upoje.
 
Mahabusu ni wengi kuliko wafungwa,tunawalisha bure,tunawalipia umeme na maji,tunawapa matibabu kwa Kodi zetu
 
Kwaivo kuhoji katiba ni ugaidi? Yaan yule mama ni mtu anaweza kukunyonga huku anakurembulia macho anakutuliza nyamaza mwanangu haiumi
Bangi,kusagana ndio anaweza,yule ni mjinga ..hii imepangwa na mkwewe salim kikeke hata kumuhoji maswali ya maana hajafanya mana keshavuta mshiko na kuichafua bbc
 
Chadema kapambaneni mahakamani na nyie ndo mliamua kucheza na siasa za kishamba kwenda kwenye media kuwa mnatangaza Magufuli dictator wakati huu nyie mnafanya ugaidi, next time mjifunze, sasa lissu na mbowe ndo watajua nini maana ya u dictator.
 
Mjinga kama wewe unajitambua kweli au unaishi kama zuzu!
 
Nyie basi hatuna Rais. Haki ya Mungu, Tanzania tunabahati mbaya mbaya sana. Sijui lini tutakuwa na watu wa kutuongoza wa kueleweka [emoji1787].
 
Mahakama itathibitisha!

Kwa uelewa wako Gaidi ni mtu wa namna gani?
 
Kashafanya hayo kwa Mbowe halafu sasa ndio yuko tayari kukaa nao meza moja. Unafki tu. Na hao the so called wapinzani, wasimpe hiyo furaha ya kukaa nae meza moja huku Mbowe amefanyiwa unyama huu.
 
Mwenyekiti mfipani hachomoki hii ngoma imeng'ang'ania koromeoni inaonekana tuhuma zilichunguzwa kimyakimya kwa ustadi kwa mda mrefu.
 
Kashafanya hayo kwa Mbowe halafu sasa ndio yuko tayari kukaa nao meza moja. Unafki tu. Na hao the so called wapinzani, wasimpe hiyo furaha ya kukaa nae meza moja huku Mbowe amefanyiwa unyama huu.
Vyama vipo zaidi ya 16 mkisusa nyie hampunguzi chochote katika meza ya mazungumzo. Kwanza ni hiari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…