Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliulizwa swali akatoa majibu, hakuleta story.Sa' kumbe kesi ipo mahakamani!!! How come tena mama anatuletea stori za mara Mbowe alikuwa mafichoni, mara katiba mpya!!!!
Una mtazamo mzuri ila hoja yako inakosa logicWakati baba yake Mbowe anadai uhuru wa nchi yetu hii baba za wengine walikuwa wanawapikia chai wakoloni.. ( chawa)
Leo wanageuka na kumwita ati Mbowe Gaidi ...
Mama ni kilaza aliepata hiyo nafasi kwa bahati,2025 atatupwa aendelee kurembuaMahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu.
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae.
----
KESI DHIDI YA FREEMAN MBOWE
Kikeke: Nazungumzia suala hilo la kisiasa kwa sababu kiongozi wa upinzania Freeman Mbowe amefikishwa Mahakamani, amefunguliwa mashataka ya Ugaidi, wananchi wake wanasema mashtaka haya yamechochewa kisiasa
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao, Lakini kwasababu na kama utakumbuka Mbowe hakuwepo nchini alikuwa Nairobi, sasa kwanini kakimbia sijui. Lakini alivyoingia tu nchini Kaitisha maandamano ya Katiba na madai ya katiba. Nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi ya aina hiyo na hii vurugu ambayo ana-instigate akikamatwa aseme mmhh! kwasababu ya Katiba, kwasababu tumeitisha Katiba... nadhani sina hakika.
Lakini kwasababu jambo liko mahakamani, sina uhuru wa kulizungumzia kwa sana. Nadhani tuache Mahakama zioneshe ulimwengu kwamba hizo shutuma walizomshutumu zilikuwa za kweli au siyo za kweli Mahakama itaamua.
Watanzania wote wanajua mbowe si Gaidi... justification kwenu CCM mbowe ni gaidi ni ngumu.mno.Una mtazamo mzuri ila hoja yako inakosa logic
Kua mtoto wa mpigania uhuru haikuondoi kutotenda jinai
Tusubiri mahakama ifanye maamuzi, kama hakuna ushahidi wa kutosha ataachiwa.
Bangi,kusagana ndio anaweza,yule ni mjinga ..hii imepangwa na mkwewe salim kikeke hata kumuhoji maswali ya maana hajafanya mana keshavuta mshiko na kuichafua bbcKwaivo kuhoji katiba ni ugaidi? Yaan yule mama ni mtu anaweza kukunyonga huku anakurembulia macho anakutuliza nyamaza mwanangu haiumi
DuuhBangi,kusagana ndio anaweza,yule ni mjinga ..hii imepangwa na mkwewe salim kikeke hata kumuhoji maswali ya maana hajafanya mana keshavuta mshiko na kuichafua bbc
Hulijui hilo? Wewe ni diaspora?Leo hiii Samia kashakua dikteta😅😅
Mjinga kama wewe unajitambua kweli au unaishi kama zuzu!Chadema kapambaneni mahakamani na nyie ndo mliamua kucheza na siasa za kishamba kwenda kwenye media kuwa mnatangaza Magufuli dictator wakati huu nyie mnafanya ugaidi, next time mjifunze, sasa lissu na mbowe ndo watajua nini maana ya u dictator.
Mahakama itathibitisha!Watanzania wote wanajua mbowe si Gaidi... justification kwenu CCM mbowe ni gaidi ni ngumu.mno.
Terrorist ni mfumo..tena mfumo hatari mno....na ndiyo maana Marekani, Europe union, Uingeleza na nchi zote zinazopambana na UGAIDI duniani wanataka kujua ugaidi wa Mbowe upoje.
Vyama vipo zaidi ya 16 mkisusa nyie hampunguzi chochote katika meza ya mazungumzo. Kwanza ni hiariKashafanya hayo kwa Mbowe halafu sasa ndio yuko tayari kukaa nao meza moja. Unafki tu. Na hao the so called wapinzani, wasimpe hiyo furaha ya kukaa nae meza moja huku Mbowe amefanyiwa unyama huu.