Haaa ndo wanaamini wanasaccos kuww katiba itamgarantee kupat msosi bila kufanya chochoteKatiba itakuletea ugali mezani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa ndo wanaamini wanasaccos kuww katiba itamgarantee kupat msosi bila kufanya chochoteKatiba itakuletea ugali mezani?
Polisi na CCM huwa wanasaidiana kufichiana aibu. hii kauli ya Samia na ile ya Sirro ukiangalia kwa makini utaona wote wana mtazamo unaofanana.
Kama Mbowe alijificha Nairobi waliwahi kusema? kuna Interpol kwanini hawakutangaza ili wasaidiwe kumtafuta?
Nashawishika kuamini Rais ameongea uongo, analeta propaganda kwenye haki za binadamu, kusema Mbowe alijificha Nairobi wakati muda wote alikuwa Dsm na Moshi kumzika ndugu yake ni maneno ya kisiasa tu.
Wewe toka povu kwa kuingia ktk mtego wa mbowe ila rais kaongea kama mtu ambaye ameshapewa intels zote na kaamua utawala wake usiwe chaka la mbowe...Hiyo kesi ilikuwepo tokea siku ya matokeo kutangazwa eti walipanga kulipua vituo ghafla akaachiwa yeye na Boniface Jacob!! Eti leo ndio ushahidi unapatikana baada ya kudai katiba??
Btw Mbowe alikua Kenya na kina Mudavadi na Lissu na ile convention ilikua public kabisa na akarejea bongo. Sasa kujificha huko ndio vipi?? Alishiriki chadema dijitali mwezi mzima.... Akaenda kanda zote.... Kaenda kwa mazishi.... Kahudhuria kongamano la katiba ndio eti alikua anajificha??
Huyu mama ni shetani na anguko lake linakaribia
Duh!Ukishakuwa rais hasa wa nchi maskini kama Tanzania lazima ufungishwe ndoa na mapepo ya ukatili, mauaji na roho mbaya
Polisi na CCM huwa wanasaidiana kufichiana aibu. hii kauli ya Samia na ile ya Sirro ukiangalia kwa makini utaona wote wana mtazamo unaofanana.
Kama Mbowe alijificha Nairobi waliwahi kusema? kuna Interpol kwanini hawakutangaza ili wasaidiwe kumtafuta?
Nashawishika kuamini Rais ameongea uongo, analeta propaganda kwenye haki za binadamu, kusema Mbowe alijificha Nairobi wakati muda wote alikuwa Dsm na Moshi kumzika ndugu yake ni maneno ya kisiasa
Yaani mtu kwenda kupumzika wewe jinga unasema kakimbia?Kuna anaekataa kuwa Mbowe hakukimbilia Kenya?
Wakati baba yake Mbowe anadai uhuru wa nchi yetu hii baba za wengine walikuwa wanawapikia chai wakoloni.. ( chawa)Yaani mtu kwenda kupumzika wewe jinga unasema kakimbia?
Kwani Mbowe ni mara ya kwanza kwenda Kenya au nje ya nchi na mara zote hizo huwa anakimbia kesi?? Kwa ushirikiano uliopo kati ya Tz na Kenya mbona ni rahisi sana kumkamata gaidi au mtuhumiwa yeyote anayehitajika pindi awapo Kenya.
Ni akili za ajabu sana hizi.Tumieni ubongo kufiki na sio kiungo kingine.!!
Nimejiuliza swali hilo piaKwani ni dhambi kuanza harakati za katiba mpya?
Maza kashachemka...be straight.Kuna vitu ambavyo sisi tulioko huku chini hatuvijui na kamwe hatuwezi kuvijua,sema tu kuna mahala inahitajika busara kwa mamlaka zinazohusika kuamua the way forward ili maisha yaendelee kwa commitment ya muhusika /taasisi kutorudia tena.
We ni mthengeDon't bank on it. Waloshika adabu ni walioko 6 ft under. Hao ndo wanajua maana ya adabu
Kuna kipindi alipotea kama miezi mitatu au zaidi wakazusha yuko matibabu united ArabHivi Mbowe alijificha lini Nairobi?
Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi??