Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Mkuu link tafadhali

Bofya hapa :



Mahojiano Maalum na Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe hayajachochewa kisiasa
Saa 3 zilizopita
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi.
Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake.
Wafuasi wa Bwana Mbowe wanadai kuwa mashtaka haya yamechochewa kisiasa.
Aidha katika suala la demokrasia na uhuru wa kujieleza Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wana uhuru wa kutosha.
Mahojiano hayo kwa urefu zaidi usikose matangazo ya Dira ya Dunia ya redio saa kumi na mbili unusu jioni, matangazo ya Dira ya Dunia ya televisheni saa tatu kamili usiku kupitia Star Tv na fuatilia mitandao yetu ya kijamii, Facebook, Instagram na Youtube.
 
Katiba itakuletea ugali mezani?
Katiba itatuepusha na sera mbovu zinafanya Ugali usipatikane.
Mfano chuki binafsi ya mtawala vs mwajiri.Watu wanakosa Kazi wakikosa Kazi hawatoweza pata Ugali.
 
Tutegemee tamko zito toka vyama vya upinzani Tanzania baada ya kusikia mahojiano haya exclusive ya mara ya kwanza kabisa baada ya miaka 5 na miezi 5 kupita ya utawala wa marais wa awamu ya 5 na awamu ya 6 kati ya chombo cha habari cha kimataifa na Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha siasa cha CCM
 
Tutegemee tamko zito toka vyama vya upinzani Tanzania baada ya kusikia mahojiano haya exclusive ya mara ya kwanza kabisa baada ya miaka 5 na miezi 5 kupita ya utawala wa marais wa awamu ya 5 na awamu ya 6 kati ya chombo cha habari cha kimataifa na Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha siasa cha CCM

..Nasubiri Press ya Benson Kigaila.
 
Ina maana alijificha kwa kuwa alienda Nairobi, au?!

Lakini tu-assume alijificha kwa sababu kila mmoja anafahamu viongozi wa upinzani maisha yao yalikuwa hatarini!!! Sasa tatizo lipo wapi kwa yeye kudai katiba akitokea "mafichoni"?
Acheni Mbowe akajitetee mahakamani, yeye ndio anajua haswa nini kinaendelea.
 
Kuna vitu vinahitaji fikra pana sana...

Kwanini kongamano la katiba Mwanza?..
Kwanini kongamano la katiba baada tu ya JPM kufa?...
Kwanini tu JPM alivyokufa tu tetesi zikaanza kamalizwa na watu fulani?.
Kwanini Mama anashinikizwa sana kuwatimua sukuma gang?..
Kwanini pressure dhidi ya sukuma gang ni kubwa kutoka upinzani kuliko CCM..
 
Acheni Mbowe akajitetee mahakamani, yeye ndio anajua haswa nini kinaendelea.
Sa' kumbe kesi ipo mahakamani!!! How come tena mama anatuletea stori za mara Mbowe alikuwa mafichoni, mara katiba mpya!!!!
 
alipofiwa akamtumia salamu za rambirambi GaIDI lililokuwa limejificha nairobi, this is sad, anasikitisha sana huyu mama
 
Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
Mkikua mtaacha. Mnataka kmzingua Rais
 
Mkome, mlikuwa mnansifia sana Baada ya Magufuri kufa mlishangilia sana,mkaanza kuita watu Matanga na Sukuma gang, sasahivi Matanga yamegeuka kwenu [emoji1][emoji2][emoji3]Dunia duara
Sisi sukuma gang na matanga tunapata wapi bia bariiiidiiii maana raha imeturudia tena baada ya kumpoteza kamanda wetu jpm ,wacha wauwaji wanyoane vuzii wao kwa wao.

Very soon watajuta kwa kufa kwa magufuli
 
Back
Top Bottom