Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Mama anafungua nchi na anaupiga mwingi sana🤣🤣🤣And your point is?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anafungua nchi na anaupiga mwingi sana🤣🤣🤣And your point is?!
Msipotoshe, kasema alikuwa na kesi lakini upelelezi haukuwa umekamilika, ila kwakua yeye alijua kuwa ana kesi Mh. Ana hisi, hana uhakika ametumia Katiba kutafuta sympathy....Si vizuri kupotosha maneno ya mtu...Kauli ga ni hii! Kujificha Nairobi ndiyo kunamfanya gaidi? Au kudai katiba mpya ni ugaidi?
Ameshikiwa akili na akina Sirro!Na Kuna ajabu gani mfanya biashara Kama Mbowe kuwa Nairobi ,yaani haata mamangu mwenye Elimu ya Watu Wazima hawezzi kutoaa hoja za kiwangi Cha chininkama hiki!
Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
Hapa kwa kweli amebugi. Maana ameonesha moja kwa moja anajua a-z na anatoa maelekezoNimemsikiliza huyu mama na kweli amesema hivi. Na mimi pia nimemshangaa sana...
Kwanza alitaka kukwepa kulijibu swali hilo kwa kuwa liko mahakamani...
Lakini ghafla akajikuta anamwaga yaliyokuwa ndani ya moyo wake na kujikuta anatoa pre judgement ya mahakama...
Amesema ametoka huko alikikuwa amejificha Nairobi Kenya na kuanza instigate fujo za kisiasa hapa nchini...
Sasa ni wazi kabisa, ugaidi ni ishu ya kubumba. Lakini kosa la huyu kamanda ni kuongoza madai ya katiba mpya ya wananchi ambayo kwa tafsiri ya watawala ni "...kui - instigate fujo za kisiasa..."
The true colour of this woman has been revealed....
mama amefeli kabla hajaanza na atashindwa vibaya sana !Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
Msipotoshe, kasema alikuwa na kesi lakini upelelezi haukuwa umekamilika, ila kwakua yeye alijua kuwa ana kesi Mh. Ana hisi, hana uhakika ametumia Katiba kutafuta sympathy....Si vizuri kupotosha maneno ya mtu...
Huhitaji kushughulika na mtu anaeendazake kesho tuKipindi cha jiwe mbona aliufyata?
Jiwe aliwaambia kuwa yeye hajaribiwi, wakaufyata wote!Kipindi cha jiwe mbona aliufyata?
Kwa sasa umekamilika?Msipotoshe, kasema alikuwa na kesi lakini upelelezi haukuwa umekamilika,
Alijua kesi imekamilika ndio maana akaja?ila kwakua yeye alijua kuwa ana kesi Mh. Ana hisi, hana uhakika ametumia Katiba kutafuta sympathy..
..Si vizuri kupotosha maneno ya mtu...
Don't bank on it. Waloshika adabu ni walioko 6 ft under. Hao ndo wanajua maana ya adabuHayana mwisho hayo. Mbowe lazima ashike adabu
Anadangaywa labda
Sasa kinakuchekesha nini?!!Mama anafungua nchi na anaupiga mwingi sana🤣🤣🤣