Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Mama anafungua nchi!

Mama anarudisha hela mtaani ili sisi mibavicha tuwe tunaziokota

Mama anaupiga mwingi sana! Uchumi uko juu, mafuta bei chini, bidhaa bei chini.

Mama anawakomesha mataga, sukuma gng na kufuta legacy.

Bashiru na Polepole wanakiona cha moto.
And your point is?!
 
Nasubiri katuni ya kipanya
20210809_193539.jpg
 
Huyu mwanamke alkuwa mtu poa,ila knachomponza ni uchu wa madaraka,anataka tena 2025 atoboe.

Pia kuna ile itikad ya ccm,inayomtaka mwanachama kukipigia chama kwa namna yoyote ile ili kibakie madarakani
 
Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
Kwani ulikuwa hujamuelewa tu,tofauti ya watu wa pwani na Bara ni moja tu,kutokuremba maneno,ila tulikibaliana Mama anaupiga mwingi🤣🤣🤣🤣
 
Huyu mwanamke alkuwa mtu poa,ila knachomponza ni uchu wa madaraka,anataka tena 2025 atoboe.

Pia kuna ile itikad ya ccm,inayomtaka mwanachama kukipigia chama kwa namna yoyote ile ili kibakie madarakani
Mwenyekiti yoyote wa sisiemu ni kuhakikisha chama hakimfii yeye...samia sio exceptional
 
Kipanya hawezi mchora vibaya huyo mama tangia aanze kumjua Mungu na kusali sana🤣🤣🤣🤣
Hatutaki mchoro mbaya bali lugha itakayoweza kueleza yote bila kupepesa macho
 
Siasa ni mchezo mchafu! 🏌️🏌️🏌️🏌️
 
Kuna mambo ukiyafikiria sana unaona jinsi ambavyo nchi imeishiwa kila kitu.ngoja tuone.muda utatuambia vizuri maana inaonekana kuna kitu kinazidi kutuwasha.
 
Huyu mwanamke alkuwa mtu poa,ila knachomponza ni uchu wa madaraka,anataka tena 2025 atoboe.

Pia kuna ile itikad ya ccm,inayomtaka mwanachama kukipigia chama kwa namna yoyote ile ili kibakie madarakani
Tatizo lenu mlihisi yeye sio CCM.
Toka siku ya kwanza nilijua hakuna kitu humo
 
Back
Top Bottom