Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Mbona walipinga dp world na hukuwaunga mkono kwa kuingia barabarani kama kweli una u hungu na nchi ya mazezeta kama wewe? Bora chadema wake kimya tu mana mitanzania haijielewi. Lisu alipigwa lisasai na jpm mbona hukwenda barabarani kupinga kitendo hicho
 
nimefurahishwa sana na kuwindwa kwa mamba ningependekeza wawindwe wote hasa kwenye maziwa na mito, napenda sana kuongelea ila mamba ni shida, hata kwenye mito wawamalize wote.

Ukiniuliza mimi mamba wakiwa extinct tanzagiza hakuna shida ni win win situation, hana manufaa yoyote kwa binadamu wanaowataka kuwaona wanaweza wafwata zoo …

Wamlete huyu Mzungu kuwamaliza mamba, hapo kapigwa mtego daddeki, i hate them…

 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Watanzania tumekuwa watu wa kulalamika mno. Hv hao jamaa waliomuwinda hiyo mamba wamevunja Sheria ama utaratibu upi wa nchi?
Je, wewe mtanzania kuifuata taratibu kama walizofuata wao hautoruhisiwa kuwinda kama wao?
Kinacholalamikiwa ni nini hasa, ni kuwindwa mamba mkubwa? Mzungu kuwinda? Sheria kuvunjwa?
 
Mkuu wewe nawe si ni mtanzania mzalendo kama upinzani, umechukuwa hatua gani?

Kwani lazima usemewe na Chadema? Kwani hili tukio liwe halali au sio halali haliwahusu vyama vingine vya upinzani pamoja na CCM??
 
πŸ‘πŸ‘πŸ™
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Whistle blowers wamechoka !!?
Huyo Mamba alitakiwa awe kivutio cha Utalii Nchini !!
Rushwa ni mbaya wajameni !! 😱
 

Punguza hasira na stress. Tatizo lako unaiogopa CCM na kuiambia ukweli unaona uwashtumu wapinzani ambao hawapo bungeni, Wala hawana jeshi, au TISS. Yani unawastumu wapinzani kwa lipi?. Nchi hii imeongozwa na TANU na CCM mpaka Leo, lakini kwa unafiki wako unaona wanaonstahili kulaumiwa ni wapinzani.

Punguza unafiki, unaona fahari kuwashtumu wapinzani na kuwalamba miguu CCM wenye mamlaka ndani ya bunge, kwenye Halmashauri zote, kwenye Dola na Taasisi zote. Unawalaumu wapinzani kwa lipi?. Kwa sababu serikali imetoa kibali Cha uwindaji hivyo tuwalaumu wapinzani kwa Nini hawakuzuia hicho kibali. Be serious na upunguze makasiriko kwa watu wasiofaa.

Pia unadai Upinzani wanahangaika na katiba mpya ili wapate madaraka. Kwanza nikuulize unajua lengo la chama Cha siasa?. Lengo la chama Cha siasa ni kushuka madaraka, ulitaka wafanyeje kuliko kuhangaika na lengo kuu. Pia, katiba mpya hawapewi wapinzani pekee bali wananchi wote. Kwa hivyo wapinzani wataangalia maslahi yao, wafanyakazi wataangalia maslahi yao etc, hivyo isiwe mbinafsi.

Mwisho, wapinzani unawalaumu humu wamepita changamoto nyingi, wameibiwa kura, wamepigwa risasi, wameharibiwa biashara zao, wengine waliopewa kesi za ugaidi rwakatare na Mbowe, wengine wamepotezwa na kuawa kabisa. Sasa nikuulize wewe unacho walaumu hawajafanya ni kipi?. Akina hans pope walitaka kupindua nchi mliwafanyaje zaidi ya kuwadhihaki. Akina Mbowe walipewa kesi za ugaidi mkamtukana mpaka mkachoka, alipokaa kimya klmkaanza kudai amelemba asali, Lissu kalimwa risasi Leo anadhihakiwa na kutukanwa na wengine kumwita mlemavu. Mkiambiwa muandamane kuupinga Jambo Fulani mnajificha ndani , ila mmekaa kuropoka hakuna upinzani. Punguza unafiki.
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Yaani wewe ni mjinga, CHADEMA wana polisi au hata mgambo? Lissu alitaka kuingia Ngorongoro akazuiwa maana kuna uchafu mwingi sn kule
 
Tangu mwaka 2023 uanze leo umeongea pweinti!

Yesu alisema " Wataendaje wasipopelekwa?"
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸŽ πŸ’ πŸŽ–οΈ
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Bwashee msimu huu wa sikukuu ni heri ukatulia kunywa ulanzi hapo Wanging'ombe. Bora uanze kunywa kuanzia mwezi wa pili huko ukishamiliza kulipa ada za wajukuu zako.
 
Kwa watu wenye Akili nzuri yule Mamba angekuwa kivutio kizuri sana kwa utalii !!
β€œ Mamba mkubwa kuliko Mamba wote Duniani yupo Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β€œ
Yaani mkubwa kuliko Mamba wote Duniani ! Kisha anatokea mjinga mmoja anatoa kibali cha mamba huyo auwawe 😱😱 Rushwa ni mbaya !!
 
Mamba wamekuwa tishio kwa binadamu kwenye maziwa na mito, watu wanashindwa kufanya shughuli zao ikiwemo uvuvi kwa kuwahofia mamba, kuuwawa mamba mmoja imekuwa gumzo kuliko mamba kumuua binadamu, wabongo bhanaa..
 
Acha ubinafsi,hii dunia si yako pekee yako

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…