Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi


Mpaka sasa sidhani yule mama aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala kuwa yuko kifungoni ; kama Mama Abdul aliona story hii nadhani atakuwa amemuachia huru! It does not make any sense kutoa hukumu ya kijinga kama hiyo.
 
Mpaka sasa sidhani yule mama aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala kuwa yuko kifungoni ; kama Mama Abdul aliona story hii nadhani atakuwa amemuachia huru! It does not make any sense kutoa hukumu ya kijinga kama hiyo.

Bado yupo kifungoni Mkuu,UWT chini ya Jokate walitoa maelezo ya propaganda tu kua watamsaidia kisheria!!
 
Daaah!!!
Unajiona unajua Sana 🤣🤣🤣🤣 nijicheke maana huna u GT hata kidunchu.. kisa forum upo upo tu..

Sasa hao si uwaulize moderators au?
Nime claim u GT saangapi Coco?

Sijawahi kuwa GT najijua. ila nakufahamu bana wewe mLumumba
 
Naunga mkono simbachawene afutwe kaxi
 

Unajua hii nchi ina idadi gani ya mamba na wangapi wamefika ukubwa huo?
Una data zozote kuhusu record ya idadi ya mamba nchini wenye ukubwa huo?
 

Hamna mahali waziri kahujumu uchumi. Sometimes tusome sheria za uwindaji zinasemaje.
Huyu kalipia kibali kabisa, akiwa na asilimia 100, ndio maana kawa assisted na askari wa mamlaka husika.
Kama taratibu na sheria za uwindaji zinavyosema.

Waziri aliyepo hakutunga na kupitisha sheria za uwindaji.

Tofauti na mama yetu , ambae probably hausiki na uwindaji moja kwa moja lakini amekutwa na nyama kinyume na taratibu.

Swali je? Kuna shida gani mwananchi wa kawaida kufuata taratibu za mamlaka kwenye uwindaji?
 

Waliotoa kibali ndio wenye control. Mgeni si wa kulaumu
Isitoshe tz ina idadi kubwa ya mamba. You have no idea mamba wakubwa kiasi hiko wako kiasi gani. Maana si mmoja tu
 
Kwa kweli mimi ninachoona tatizo ninaliona gari letu tuna tatizo la dereva na wala sio matairi na vioo.
 
Unajua hii nchi ina idadi gani ya mamba na wangapi wamefika ukubwa huo?
Una data zozote kuhusu record ya idadi ya mamba nchini wenye ukubwa huo?

Unaweza kuweka hapa idadi ya mamba wenye umri wa miaka 100 kama huyu?!!

Kwa akili yako,kumuua kwa malipo ya dola 3000 na kuendelea kumtunza, kipi ni bora kwa Taifa?!
 
Labda aña vibali.....asikilizwe kabla kukurupukaa.....mamba wako wengi sana...ukiomba kibali na kulipia unaua tuu wapungue
Tuanzie hapa kwanza: Kwenye Hifadhi za Taifa unaruhusiwa kuwinda? Sheria inasemaje?
 
Linchi letu limefikia huko wazee twendeni nalo tu hatuna watu wa kulinda maliasili zetu tena. People ziko busy kupiga pesa tu, kulinda watawala, kulamba asali na kushindana kwenye uchawa.

Nchi iko kwenye auto pilot acha ijiendee tu mpaka akili itakapotukaa sawa sijui ni lini.
 
Mnatoa kibali cha uwindaji na uuaji, unatoa askari wa kuambatana na muwindaji kwenda kushuhudia mauaji, unaweka fedha kibindoni kwa siri, kisha unataka CDM wafanye nini!?

Bwashee dalili za ugonjwa uliokuwa nao, rejea maoni ya Dkt. Janabi hivi karibuni.
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Nchi hii hakuna upinzanii ni upuuzii mtupu huu ndio ukwelii mchungu wapo kimaslahii Yao tuu,,wao kitu kikubwa kwao ni katiba nzurii ambayo itawapa urahisii wa kushinda uchaguzii,trust me hata upinzanii wakipewaa serikalii bado mambo yatabakii yaleyale mifano ipo mingi kwenye nchi za kiafrika wapinzani walipochukua serikalii mambo yalibakii kuwa vile vile kiufupii Afrika tumelaaniwa,ni wabinafsii hatuna akilii na hili la kuwindwa kwa mamba mkubwa kama huyo inadhihirisha wazi Waafrika tulivyo hatuna akilii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…