Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hata akipita juu ya maji mtasema anawatimulia Vumbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hapo wewe ndo umejiona umetafakari saana sivyo!!?Janga gani na wewe? Yaani huoni haya mabadiliko ya tabia ya nchi? Joto kali sana na maeneo mengine kama Morogoro mvua haijanyesha kabisa, na hii ni November inaenda mwishoni. Yeye afanyeje kama maji yamepungua kutokana na sababu hizo? Kazi tu kukariri corus bila ya kufanya tafakari.
Hakuna cha mkakati wala nini. Penye ukweli acha usemwe na si kumlaumu mtu kwa vitu vilivyo juu ya uwezo wake. Ungekuwa na hoja ya maana kama ungehoji juu ya mipango ya sasa kwenda mbele katika hali hii ya mabadiliko ya tabia ya nchi ningekuelewa.Hii ni moja ya ID za kimkakati
Kwa taarifa yako anakunywa ndoo zaidi ya mbili!Yaani Ng'ombe mmoja anakunywa mdoo 2 za maji Kwa siku? Kumbe Ng'ombe wetu alikuwa na Tabia mbaya.
Ndiyo mkuu. Acha kuwa mwepesi wa kulaumu bila kufanya analysis ya hali halisi.Kwahiyo hapo wewe ndo umejiona umetafakari saana sivyo !!?
Aah am sorry mkuu, Kumbe janga sio rais pekee.🚶🚶
Wewe ndo wa ajabu kuliko Huyo unayemuona wa ajabu. Mwanza na Shinyanga kuna mgao, nako wanategemea maji ya mito?Aisee wewe jamaa wa ajabu sana. Kwa hiyo ulitegemea Mama Samia awe amefikisha maji ya ziwa victoria Dar na maeneo mengine ndani ya kipindi kifupi alichoshika madaraka? Mbona walaumu bila kuwa na sababu za msingi? Au ni chuki zako tu kwake? Au hujui pia mabadiliko ya tabia ya nchi yaweza kusababisha hata kina cha maji ya ziwa kupungua sana na kuicha mitambo ya kutape maji ikielea tu?
Swali alilouliza Ni la msingi. Mbona kipindi Cha Magu hakukuwa na mgao? Umejibu kishabikiAlichokisema hapo hakihusiana na kifo cha mtu.
Jesus is Savior.
Soma tena ulichoandika na ulinganishe nilichokuuliza.....Aisee wewe jamaa wa ajabu sana. Kwa hiyo ulitegemea Mama Samia awe amefikisha maji ya ziwa victoria Dar na maeneo mengine ndani ya kipindi kifupi alichoshika madaraka? Mbona walaumu bila kuwa na sababu za msingi? Au ni chuki zako tu kwake? Au hujui pia mabadiliko ya tabia ya nchi yaweza kusababisha hata kina cha maji ya ziwa kupungua sana na kuicha mitambo ya kutape maji ikielea tu?
Inasemekena nyie mataga pori mmpewa nafasi ya upendeleo kwenu maji yanatoka mengi kweri-kweri 🤣 🤣 🤣 🤣Tulia wewe!
Mataga wanakomolewa
Hapa tayari umeshapanic 🤣 🤣 🤣Wakanywe Ufipa!
Wewe uko Shinyanga vijijini labdaWewe ndo wa ajabu kuliko Huyo unayemuona wa ajabu. Mwanza na Shinyanga kuna mgao, nako wanategemea maji ya mito?
Naagiza Wakuu wote wa mikoa kuweka ulinzi katika mito yote ili kulinda maji ya watu wetu……… waagize wakasimamie upandaji wa miti kwenye vyanzo vya maji badala ya kwenda kulinda mito tu.Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji
Huu ogoro watakula watu wa lumumba tu.Ungemsikiliza alichosema wala usingevurumisha lawama 🤣
Amesema Dar ni mfano wa sehemu nyinginezo.
Muulize John Heche hapo Ufipa wale ng'ombe wake wanaotoa lita 30 za maxiwa kwa siku wanakunywa maji lita ngapi?Jaribuni kuepuka uongo majukwaani.
Umeshapanic bwashee!huu ogoro watakula watu wa lumumba tu.
Dar es salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Huyo Magu wako Nani katika hii Nchi??! Kama alikuwa jabali mbona hakugoma kutolewa roho na malaika wa mahuti? Yaani kila kitu, eti mbona kipindi mungu Magu haikuwa hivi, huko TBC mmesikia ubazirifu wa mabilioni ya Fedha,Tena kipindi Cha huyohuyo mtu wenuKwahiyo hao watu wamevamia Magu alipofariki au?