peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Mwaliko huu ni wa miezi zaidi ya mitatu nyuma kabla ya sakata hili la Bandari.kkkt mmesaliti haki mnafungamana na mafisadi...
Kiufupi mmemkataaa Mungu wenu mnaemuhubiri Kila siku mmeamua kufungamana na kaisari..
Nyie ndo mnaopiga kelele mara sijui kanisani mara kigango mara VaticanMbona mnapiga kelele kama watu waliochanganyikiwa tangu juzi lilipotoka?!
Ni mjinga tu asiye na kazi za kufanya km wewe ndo atahangaika na kijitamko chenu. Serikali ishapanga yake na mchakato waendeleaJuha ni wale wanaoshindwa kujibu hoja za TEC, na kukimbilia kujificha kwenye uchambuzi wa mchongo TV Imaan!.
Tukumbushe kama walitoa Lissu alipopigwa risasi, tukumbushe ya Mbowe na kesi ya ugaidi, tukumbushe ya zuio haramu la mikutano ya Siasa, tukumbushe ya kubambikia watu kesi enzi zile, ukikumbuka tukumbushe ya maiti kwenye viroba, tukumbushe ya Kibiti.Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda
Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida
kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete
Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu
Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.
kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?
Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida
Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani
Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo
Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Wana kelele utadhani wana historia ya kuishinda serikaliKuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Huyo atatapigwa spana shoo huko huko naRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Amen jina la Bwana libarikiweRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Hakuna kanisa linaitwa roman catholic. HalipoKKKT HAWATAJATOA TAMKO
TAMKO WAMETOa watoto wa papa /Roman catholic
Thubutu... Hawatakiwi kuchanganya siasa na dini.KKKT watoe waraka wao siku hiyo. 😎😎
Dr Fredrick Shoo the man who fears nobody but GOD! nenda mazeri hili jabali si mchezo lakini usije ukabwata kama Kikwete aliyejifanya kurekebisha mtumbwi uliozama kule SDA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
This is too low for you!Hili jinga linatuamia ukabila kama kichaka cha kuendesha siasa
This time ni tofauti kwa yaliyoko huko ni kumuomba MunguKuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda
Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida
kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete
Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu
Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.
kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?
Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida
Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani
Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo
Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Mmeuza mali zenu kishenzi kwa bei ya kutupa mnataka kugawa bandari kwa wajomba? Pelekeni ushenzi wenu huko!Hatulalamiki tuna jadili
Nyie ndio Muislam akiunga Mkono Mkataba wa DP World mnamwita Mdini, Mie Mkristo akipinga Mkataba najua ni haki yake ya kikatiba halafu nafanya nae mjadala
Sasa hivi hata wale Waislam walevi na wazinzi wameelewa Siasa za TEC
TEC wamesema hawataki kabisa Muarabu apewe Bandari na Chadema wanasema hawana shida na Muarabu shida yao ni vipengele kadhaa tu vya Mkataba
Nawe Msimamo wako upi wa Chadema au Kanisa?, tuanzie hapa kwanza
Mie siukubali Mkataba wa DP World sio kwa sababu za Kimkataba mie siukubali kwa facts za kiuchumi na nina hoja zangu lakini pia sikubaliani na hoja za Kanisa za kutaka Bandari iachwe iendelee kama ilivyo
Twende kwenye mjadala sasa …napenda sana mijadala
Hujawajua wewe, inapotokea jambo lenye maslahi mapana kwa Nchi kama ilivyo bandari sasahivi, Kanisa huungana na kuwa wamoja.KKKT hawana msimamo hao
Huyo huyo Methodius Kilaini ndiye alimtangaza mwislam mswahili JAKAYA MRISHO KIKWETE kuwa ni chaguo la Mungu umesahau?Merhodius Kilaini alivyolamba Mgao wa Escrow alichukuliwa hatua gani ?
Au Rushwa sio kosa kwa kina Kilaini? Issue ya Msingi sio Msimamo ni maadili