Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Kazi kweli kweli
Wenye kazi hiyo ya kusikiliza Quran tutakuwepo uwanja wa Mkapa mgeni rasmi akiwa Rais wa JMT....wewe usije mkuu!

Nilikuwepo yale mashindano aliyohudhuria hayati JPM...sikukuona mkuu wangu !
 
Nimenukuu Quran sijanukuu biblia wala Gita......
Na mimi nimekuambia kanisa siyo nyumba ya ibada ya mwenyezi mungu ...niulize chimbuko la kanisa ni nini ? Wakati wa Isa (Yesu ) kanisa liliruhusiwa na yesu mwenyewe ila alikuwa nyumba ya ibada ndiyo maana watu waliingia na viatu na kukaa vitini ...Yesu aliwaambia wanafunzi wake wasiache kukutanika kufundishana injili hivyo majengo waliyo kuwa wanakutanika kufundishana injili ndiyo yalikuwa yanaitwa kanisa , hivyo azikuwa nyumba za ibada... tatizo lilikuja baadae baada ya yesu kuondoka na kuanza kwa upotovu wa MADHEHEBU, hapo ndipo walipo badili kanisa kuwa nyumba ya ibada na ile desturi ya kuingia na viatu na kukaa kwenye viti iliendelea ...hivyo upotovu ndani ya ukristo ulianza kwenye kubadili nyumba za kukutania wakristo na kuziita nyumba za ibada. Bwana Utam FaizaFoxy adriz Mufti kuku The Infinity Malaria 2
 
Huyo Sheikh ni mmoja wa viongozi wa BAKWATA, kiumri anaweza kuwa mkubwa kuliko Sheikh Mkuu.

Ipo video moja anampinga Profesa Janabi katika suala zima la watu kujipimia vyakula, anasema vipi kuhusiana na wanaume wanaooa wanawake wenye umri mdogo, anamhoji Profesa Janabi kwenye hiyo video.
 
Ulipenda kuwaona wakisali popote tu hata ufukweni mahali watu wanatembea na vichupi?.

Kanisa halisi lipo moyoni mwa mkristo anayeamini katika kifo na ufufuko wa Yesu Kristo. Nyumba tunazokutania ni sehemu tu za sisi wenye imani moja kuweza kuwa tunakwenda kufanyia ibada.
 
Umeumia? Mpaka wazungu wanashiriki. Biblia ngumu sana kuhifadhika ndani ya moyo kwa sababu imechakachuliwa na wanaadam

Mnakariri maneno ya kwenye kuruwan. Wengi hawajui maana yake. Na ndiyo maana wengi hawajui kuruwan zaidi ya maneno yale ya kurudia rudia ya swala 5. Kweli mudi kawaweza
 
Lugha utayotumia ni sawa. Mwisho wa siku anasoma bila kuangalia

Unaposoma bila kuangalia ina maana unasoma bila kutafakari unachosoma. Hutumii akili. Yaani umekariri. Yaani nyie ni makasuku
πŸ˜› πŸ˜‚ πŸ˜€
 
Tumia akili ...ni mtume au nabii gani aliye badili taratibu za nyumba ya ibada ya mungu hadi wakristo mnaingia na viatu na kuketi vitini ..... tatizo ni kubadili kanisa kutoka mfumo wa nyumba za kukutania na kuzifanya nyumba za ibada bila ya kufuata kanuni za nyumba ya ibada ya mungu
 

Mafundisho ya mudi yanaongoza kwa kuendekeza ngono
 

Bro lugha ya mtu ni lugha ya mtu tu. Lazima ukariri tu. Maana una vocabularies chache, linguistic environment is not supporting the language. Msikitini unaongea kiarabu, ukitoka tu unaanza kuongea kiswahili. Katika mazingira hayo huwezi kamwe kuwa mahili kwenye lugha yoyote ile.
Ndiyo maana wanarudia maneno yale yale katika ibada zao
 
Kweli mnaelewa. Ndio maana kuna wasabato, wa luteri, katoliki, walokole wote wanatumia biblia moja lkn hawafanyi ibada kanisa moja

Kwani wale mashiah, hamadiyyah, sunnih nk wote wana kuruwan zao? Hebu tuondolee ujinga hapa
 
Tuenende hiviii....

Chunguza huyo shekhe kama ni msemaji wa BAKWATA ?!!

Kama ni mzee zaidi ya sheikh mkuu wa Tanzania basi hatokuwa katibu wetu mkuu Shaykh Nuhu Mruma....yeye na Mufti ndio wasemaji wa BAKWATA wengine wakishiba biriani la nyama ya kondoo wanaweza kuongea lolote lile ila lisihusishwe na taasisi.....
 
Kuna kipindi nakaa mfaranyaki songea. Nikawa nafuatilia maneno ya zile swala swalaaa zao. Kumbe ni marudio ya maneno yale yale
Kurudiarudia maneno au jambo hakulifanyi hilo jambo kuwa lisilo na maana.....

Hata kitandani tunarudiarudia majambo"kwa kwenda mbele ,kurudi ,kwenda kushoto...juu na chini ikiwezekana.."ila marudio hayo hutupa watoto wanaoongeza idadi ya wana ukoo....
 
Mashindano haya ya Kuhifadhi Quran yaende sambamba na Mashindano ya Kuhifadhi Hisabati, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Jiografia, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…