Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Basi MUHAMMAD alikuwa KAFIRI... ndiyo maana unawaona wenzako wanakwepa swali ....wewe umekuja kichwa kichwa kama ngiri.....Kabla ya Muhammad kupewa utume... mtume wa mwisho kwa mujibu ya uislamu ni Isa na kabla ya kuja kwa msahafu kitabu cha mwisho ni injili....hivyo injili ni mwongozo wa mungu kabla ya msahafu je Muhammad kabla ya kufikia daraja ya utume ilimpasa afuate maagizo ya mungu ya mwisho na kwa hayo ndiyo afike daraja ya utume kisha ndiyo apewe huo msahafu ....sasa swali kama Muhammad akufuata mwongozo wa mungu wa injili je utume kaupata kutoka njia gani . Bwana Utam FaizaFoxy adriz Mufti kuku The Infinity Malaria 2

Wakikujibu uni tag mkuu.

Pia ukiwauliza kwamba uislam kama ulianza kabla ya Muhammad msingi wa imani yao ulikuwa ni nini? Maana kuruwan ambao ndiyo muongozo na msinga wa imani ya uislam ilianza kuwapo kipindi cha mtume Muhammad
 
Sio tu Quran Allah ameteremsha vitabu kabla ya Quran
 
Wakikujibu uni tag mkuu.

Pia ukiwauliza kwamba uislam kama ulianza kabla ya Muhammad msingi wa imani yao ulikuwa ni nini? Maana kuruwan ambao ndiyo muongozo na msinga wa imani ya uislam ilianza kuwapo kipindi cha mtume Muhammad
Hakunaga muislamu wa kunijibu maswali yangu hata moja ndiyo maana nawa tag kabisa ...kuhusu uislamu kuwa dini ya mitume wote nilisha wauliza maswali wakakimbia wasinijibu majuzi na niliwa tag
 
Majinn yote yatakuwepo Tanzania kuhakikisha Samia anazingirwa na kuvikwa umalkia kabla ya Oktoba.
 
Tumia akili ...ni mtume au nabii gani aliye badili taratibu za nyumba ya ibada ya mungu hadi wakristo mnaingia na viatu na kuketi vitini ..... tatizo ni kubadili kanisa kutoka mfumo wa nyumba za kukutania na kuzifanya nyumba za ibada bila ya kufuata kanuni za nyumba ya ibada ya mungu
Wewe ndio akili huna...Mungu anaangalia ulichonacho moyoni mwako sio mavazi unayovaa.

Kibaya ni kile kikutokacho sio kile kiingiacho.
 
Badala ya kushindanishwa kwenye mambo muhimu yenye tija wanashindana kwenye mambo ya dini, kuhifadhi quran, ili iweje, kwamba watakuwa masheikh?

Bora hata wangeshindanishwa kwenye matendo. Mfano nani hajachepuka, au hajala rushwa au kuua. Halafu ndiyo apongezwe
 
Back
Top Bottom