Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Toa ushahidi kuwa Muhammad alisema katika watu wa peponi wapo na manaswaraMuhammad aliwaambia waislamu kuwa katika watu wa peponi wapo na manasara....sasa wewe unakuja na uongo wako kuwa manasara hakuna mchamungu wa kweli ππππ kwa hiyo tukuamini wewe au Muhammad aliye eleza iuhusu manasara wakweli