Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Surah Ya-Sin (36:69):
"Na hatukumfundisha (Mtume) mashairi, wala hayawezi kuwa kwake. Hii ni isipokuwa mawaidha na Qur'an yenye kubainish
Sasa mashairi na hadithi kipi kituko ...vp neno la mungu mwenyezi liitwe HADITHI...hivi wewe ukimuagiza mtoto wako jambo kisha mtoto wako akasema hayo maagizo yako ni HADITHI TU wewe utamwelewaje
 
Alibatizwa kanisa gani ?!!
Basi MUHAMMAD alikuwa KAFIRI... ndiyo maana unawaona wenzako wanakwepa swali ....wewe umekuja kichwa kichwa kama ngiri.....Kabla ya Muhammad kupewa utume... mtume wa mwisho kwa mujibu wa uislamu wenyewe ni Issa na kabla ya kuja kwa msahafu, kitabu cha mwisho ni injili....hivyo injili ni mwongozo wa mungu kabla ya msahafu je Muhammad kabla ya kufikia daraja ya utume ilimpasa afuate maagizo ya mungu ya mwisho na kwa hayo ndiyo afike daraja ya utume kisha ndiyo apewe huo msahafu ....sasa swali kama Muhammad akufuata mwongozo wa mungu wa injili je utume kaupata kutoka njia gani . Bwana Utam FaizaFoxy adriz Mufti kuku The Infinity Malaria 2
 
Sasa mashairi na hadithi kipi kituko ...vp neno la mungu mwenyezi liitwe HADITHI...hivi wewe ukimuagiza mtoto wako jambo kisha mtoto wako akasema hayo maagizo yako ni HADITHI TU wewe utamwelewaje
Neno la mungu sio hadithi.
 
Hadithi ni maneno na matendo ya mtume
Maneno na matendo ya mitume yaliyo andikwa kwenye kitabu chake Mungu ndiyo neno la Mungu hilo....la sivyo yasinge andikwa ...mitume na manabii, maisha yao ni sehemu ya neno la mungu
 
Hadithi ni maneno na matendo ya mtume
Hata hiyo hoja yako niya kijinga ndiyo maana nikakuuliza wewe mtoto wako akiyaita maagizo yako kuwa ni hadithi tu utamchukuliaje ? Sembuse mtume wa Mwenyezi Mungu... je wewe na mtume mohammad nani ni mkuu sasa kama neno lako la msingi unalo mwambia mtoto wako, inge kuchukiza kuitwa ni hadithi na huyo mtoto wako....je neno la mtume wa mungu kuliita hadithi siyo laana hiyo ...waislamu mmelaaniwa yani mnaliita neno la mungu litokalo kwenye vinywa vya mitume wake kuwa ni hadithi .... 😁😁😁😁
Bwana Utam FaizaFoxy adriz Mufti kuku The Infinity Malaria 2
 
Basi MUHAMMAD alikuwa KAFIRI ndiyo maana unawaona wenzako wanakwepa swali ....wewe umekuja kichwa kichwa kama ngiri.....Kabla ya Muhammad kupewa utume... mtume wa mwisho kwa mujibu ya uislamu ni Isa na kabla ya kuja kwa msahafu kitabu cha mwisho ni injili....hivyo injili ni mwongozo wa mungu kabla ya msahafu je Muhammad kabla ya kufikia daraja ya utume ilimpasa afuate maagizo ya mungu ya mwisho na kwa hayo ndiyo afike daraja ya utume kisha ndiyo apewe huo msahafu ....sasa swali kama Muhammad akufuata mwongozo wa mungu wa injili je utume kaupata kutoka njia gani . Bwana Utam FaizaFoxy adriz Mufti kuku The Infinity Malaria 2
Muhammad SAW ametufundisha kuwa tuamini katika vitabu vyote vya Mungu vilivyoshushwa kabla yake....

Sasa Injili na Taurati si vitabu vilivyoshushwa na Mungu ?!!
 
Mtu mzima anapoongea hatiliwi shaka, haswa akiwa kiongozi wa dini.
Uislamu unakataa kuwaamini watu tu bali kuyapima maneno yao na vitendo vyao vinavyoihusu jamii.....

Huyo Shekhe "fulani" aliyepotosha juu ya ukweli ni nani katika uongozi wa taasisi ya BAKWATA ?!!
 
Muhammad SAW ametufundisha kuwa tuamini katika vitabu vyote vya Mungu vilivyoshushwa kabla yake....

Sasa Injili na Taurati si vitabu vilivyoshushwa na Mungu ?!!
Kama ni hivyo yeye alikifuata kitabu cha injili je alikuwa mnasara...maana wanasara ni wale nanaofuata mafundisho ya injili na kuwaamini mitume wote wa nyuma ya injili ....
 
Uislamu unakataa kuwaamini watu tu bali kuyapima maneno yao na vitendo vyao vinavyoihusu jamii.....

Huyo Shekhe "fulani" aliyepotosha juu ya ukweli ni nani katika uongozi wa taasisi ya BAKWATA ?!!
Kwa umri wake anayajua vyema hayo unayoyasema. Jina limenitoka nikilikumbuka nitakutajia.
 
Kama ni hivyo yeye alikifuata kitabu cha injili je alikuwa mnasara...maana wanasara ni wale nanaofuata mafundisho ya injili na kuwaamini mitume wote wa nyuma ya injili ....
Alifuata Injil lakini hakufuata biblia.Manaswara hawafuati Injil wanafuata biblia
 
Back
Top Bottom