Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Sio kweli, Quran haijakopi chochote kutoka kwenye biblia.
Ila biblia ndo imekopi kutoka kwenye Injil
Quran ni mashairi ,ni kweli inaweza kuimbwa pasipo na vyombo vya muziki....
Surah Ya-Sin (36:69):
"Na hatukumfundisha (Mtume) mashairi, wala hayawezi kuwa kwake. Hii ni isipokuwa mawaidha na Qur'an yenye kubainish
 
Hayati JPM katika ubinadamu wake alihudhuria mojawapo ya hizi shughuli za waislam.

Aliposalimiana na JK nakumbuka Mkwere alimtazama kwa jicho fulani la kumuona kama vile kapotea njia, lakini walikuwa marafiki wa muda mrefu.
Shujaa Magufuli aliingia ndani ya msikiti mkuu wa BAKWATA Kinondoni na kuukagua
 
Wewe unamjua ?
Isa (A.S.) alizaliwa kwa muujiza kupitia mama yake, Mariamu (Mariam), bila baba. Qur'an inasimulia jinsi Malaika Jibril (Gabriel) alivyompa Mariamu bishara ya mtoto huyu, na alipouliza atampataje mtoto bila kuolewa, Allah alimjibu:

"Alisema: Hivyo ndivyo atakavyosema Mola wako: Hili ni jambo jepesi kwangu..."
(Qur’an, Maryam 19:21)
 
Surah Ya-Sin (36:69):
"Na hatukumfundisha (Mtume) mashairi, wala hayawezi kuwa kwake. Hii ni isipokuwa mawaidha na Qur'an yenye kubainish
Ni kweli si mashairi "in traditional sense" ila yana RHYTHM na RTHYM....
 
Isa (A.S.) alizaliwa kwa muujiza kupitia mama yake, Mariamu (Mariam), bila baba. Qur'an inasimulia jinsi Malaika Jibril (Gabriel) alivyompa Mariamu bishara ya mtoto huyu, na alipouliza atampataje mtoto bila kuolewa, Allah alimjibu:

(Qur’an, Maryam 19:21)
asante sana
 
Soma aya hizi kwanza
36:69
69:40-41
52:30-31
Akhi narudia tena....Quran si mashairi ya kitamaduni (traditional) bali yana POETIC QUALITIES....RHYTHM and RHYMES na ndio tunaambiwa tusome kwa "khushui na tartiil "....
 
Back
Top Bottom