Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
billioni 3 wanaweza kuwa ni wajinga na wapuuzi dhidi ya wachache wenye weledi wa kuwa wagunduzi wa sayansi na teknolojia katika dunia hii. Huoni kuwa hayo mashindano ni ya wapuuzi?Wewe ni nani utushauri sisi mambo ya imani yetu ?!!
Psychosis is really....your psychotic mzee......
Kwa hiyo waislamu bilioni 3 duniani hakuna scientists wala wenye mandeleo ?!!
Huna akili
Imani si upuuzi mkuu....billioni 3 wanaweza kuwa ni wajinga na wapuuzi dhidi ya wachache wenye weledi wa kuwa wagunduzi wa sayansi na teknolojia katika dunia hii. Huoni kuwa hayo mashindano ni ya wapuuzi?
Umeumia? Mpaka wazungu wanashiriki. Biblia ngumu sana kuhifadhika ndani ya moyo kwa sababu imechakachuliwa na wanaadam
alienda ili tu kuridhisha kundi hilo la wapuuzi kitu ambacho si kizuri kumualika rais wa nchi ahudhurie aibu hiyo. Mgemualika sheikh wa mkoa ndiye anastahili kuwa mgeni rasmi wa hayo mambo yenu ya dini. Rais ana mambo muhimu ya kualikwa kuwa mgeni rasmi, sio mashindano ya kuhifadhi quranMbona akili yako kisoda mzee ?!!
Shida ni nini ?!!
Huo uwanja umeshawahi kushuhudia hayo mashindano na mgeni rasmi alikuwa hayati JPM ?!!
Vitamin B complexes zitakufaa sana "myelin sheath" zako ziwe stable....
wapi ulisoma sayansi mgunduzi ni muislam? Muachage udini unawaharibu akiliImani si upuuzi mkuu....
Huna akili ,unataka kuniambia bilioni 3 ya waislamu hakuna wasomi , wanasayansi ,wenye maendeleo ?!!
Duuh wewe kweli ni PSYCHOTIC....u really need medical attention at psychotic hospital....
Utibiwe mzee hauko sawa.....
Kazi ya rais ni kuridhisha makundi yote.....alienda ili tu kuridhisha kundi hilo la wapuuzi kitu ambacho si kizuri kumualika rais wa nchi ahudhurie aibu hiyo. Mgemualika sheikh wa mkoa ndiye anastahili kuwa mgeni rasmi wa hayo mambo yenu ya dini. Rais ana mambo muhimu ya kualikwa kuwa mgeni rasmi, sio mashindano ya kuhifadhi quran
1)Al Khwarizmiwapi ulisoma sayansi mgunduzi ni muislam? Muachage udini unawaharibu akili
Wazuie wasifanye hayo mashindano....Mmepewa uwanja wa mkubwa wa mpira sio kama hayo mashindano ni ya maana sana, hata wengine hupewa kufanya mambo yao kama yenu. By the way huo uwanja si wa mambo hayo mfahamu hilo
msipende kuburuza marais kwenye mambo hayoKazi ya rais ni kuridhisha makundi yote.....
Huwezi kufuta uhalisia wa Rais hayati JPM kutokataa mwaliko wa hao waislamu katika mashindano ya Quran hapo Mkapa Stadium......
I rest my case with a psychotic case......
Your are a deluded chap ,you deserve no logical discussions....
Hakuna mtu awezaye kumburuza rais wewe mgonjwa wa akili.....msipende kuburuza marais kwenye mambo hayo
waligundua nini na ni karne gani, acha kutaja wanasayansi kizembe namna hii1)Al Khwarizmi
2)Avicenna
To name the least.....
Akili huna....si kosa langu....waligundua nini na ni karne gani, acha kutaja wanasayansi kizembe namna hii
kama mambo ya watu wengine ni ya kipuuzi why wasiambiwe kuwa ni wapuuzi?Wazuie wasifanye hayo mashindano....
Kama huwezi basi baki na ukiiiicheer wako kwani you are insignificant to other people's affairs.....
Huna akili....hilo si kosa langu....kama mambo ya watu wengine ni ya kipuuzi why wasiambiwe kuwa ni wapuuzi?
akili gani, unazungumzia akili mnemba?Huna akili....hilo si kosa langu....
PSYCHOTIC...akili gani, unazungumzia akili mnemba?
Hiyo sychotic unayo wewe mfia dini kafilie mbaliPSYCHOTIC...
Mimi si mfia dini.... chizi wewe njoo tule bata harusi ya Aziz Ki hapa ukumbini.....Hiyo sychotic unayo wewe mfia dini kafilie mbali