Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Wewe ni nani utushauri sisi mambo ya imani yetu ?!!

Psychosis is really....your psychotic mzee......

Kwa hiyo waislamu bilioni 3 duniani hakuna scientists wala wenye mandeleo ?!!

Huna akili
billioni 3 wanaweza kuwa ni wajinga na wapuuzi dhidi ya wachache wenye weledi wa kuwa wagunduzi wa sayansi na teknolojia katika dunia hii. Huoni kuwa hayo mashindano ni ya wapuuzi?
 
Imani si upuuzi mkuu....

Huna akili ,unataka kuniambia bilioni 3 ya waislamu hakuna wasomi , wanasayansi ,wenye maendeleo ?!!

Duuh wewe kweli ni PSYCHOTIC....u really need medical attention at psychotic hospital....

Utibiwe mzee hauko sawa.....
 
Umeumia? Mpaka wazungu wanashiriki. Biblia ngumu sana kuhifadhika ndani ya moyo kwa sababu imechakachuliwa na wanaadam
1000263908.jpg

Tulia ww agiza mdudu acha kujificha
 
Mbona akili yako kisoda mzee ?!!
Shida ni nini ?!!

Huo uwanja umeshawahi kushuhudia hayo mashindano na mgeni rasmi alikuwa hayati JPM ?!!

Vitamin B complexes zitakufaa sana "myelin sheath" zako ziwe stable....
alienda ili tu kuridhisha kundi hilo la wapuuzi kitu ambacho si kizuri kumualika rais wa nchi ahudhurie aibu hiyo. Mgemualika sheikh wa mkoa ndiye anastahili kuwa mgeni rasmi wa hayo mambo yenu ya dini. Rais ana mambo muhimu ya kualikwa kuwa mgeni rasmi, sio mashindano ya kuhifadhi quran
 
Imani si upuuzi mkuu....

Huna akili ,unataka kuniambia bilioni 3 ya waislamu hakuna wasomi , wanasayansi ,wenye maendeleo ?!!

Duuh wewe kweli ni PSYCHOTIC....u really need medical attention at psychotic hospital....

Utibiwe mzee hauko sawa.....
wapi ulisoma sayansi mgunduzi ni muislam? Muachage udini unawaharibu akili
 
alienda ili tu kuridhisha kundi hilo la wapuuzi kitu ambacho si kizuri kumualika rais wa nchi ahudhurie aibu hiyo. Mgemualika sheikh wa mkoa ndiye anastahili kuwa mgeni rasmi wa hayo mambo yenu ya dini. Rais ana mambo muhimu ya kualikwa kuwa mgeni rasmi, sio mashindano ya kuhifadhi quran
Kazi ya rais ni kuridhisha makundi yote.....

Huwezi kufuta uhalisia wa Rais hayati JPM kutokataa mwaliko wa hao waislamu katika mashindano ya Quran hapo Mkapa Stadium......

I rest my case with a psychotic case......

Your are a deluded chap ,you deserve no logical discussions....
 
Mmepewa uwanja wa mkubwa wa mpira sio kama hayo mashindano ni ya maana sana, hata wengine hupewa kufanya mambo yao kama yenu. By the way huo uwanja si wa mambo hayo mfahamu hilo
 
Wazuie wasifanye hayo mashindano....

Kama huwezi basi baki na ukiiiicheer wako kwani you are insignificant to other people's affairs.....
 
Kazi ya rais ni kuridhisha makundi yote.....

Huwezi kufuta uhalisia wa Rais hayati JPM kutokataa mwaliko wa hao waislamu katika mashindano ya Quran hapo Mkapa Stadium......

I rest my case with a psychotic case......

Your are a deluded chap ,you deserve no logical discussions....
msipende kuburuza marais kwenye mambo hayo
 
Hakuna mtu awezaye kumburuza rais wewe mgonjwa wa akili.....

Unaanzaje kumburuza chief comforter of the nation ?!!

Elimu huna...
Maarifa huna...
Akili huna....
Kujifunza hutaki...sasa nawezaje kukusaidia psychopath ?!!
 
Wazuie wasifanye hayo mashindano....

Kama huwezi basi baki na ukiiiicheer wako kwani you are insignificant to other people's affairs.....
kama mambo ya watu wengine ni ya kipuuzi why wasiambiwe kuwa ni wapuuzi?
 
Back
Top Bottom