LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
huyo ki mmemshikisha bomu ndio nije kula bata lake? Acheni hizoMimi si mfia dini.... chizi wewe njoo tule bata harusi ya Aziz Ki hapa ukumbini.....
Siwezi kukupa akili usizokuwa nazo mzeya....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo ki mmemshikisha bomu ndio nije kula bata lake? Acheni hizoMimi si mfia dini.... chizi wewe njoo tule bata harusi ya Aziz Ki hapa ukumbini.....
Siwezi kukupa akili usizokuwa nazo mzeya....
Acha roho ya kimaskini....njoo ukumbini tule bata la shemeji Ki ,watoto wa kumwaga leo hapa....upunguze psychosis yako....huyo ki mmemshikisha bomu ndio nije kula bata lake? Acheni hizo
Jambo la mwenzako na lisilokuhusu linakuwaje upuuzi ?!!Hivi huo upuuzi huwa una faida gani kwa taifa?
Jikite kwenye hojaJambo la mwenzako na lisilokuhusu linakuwaje upuuzi ?!!
JPM alikuwa anahudhuria....Mama anahudhuria....yaani waandazi wa uhudhuriaji wake huko serikalini hawana akili isipokuwa wewe ndiye mwenye akili sana ,si ndio ee???
Acha kujipa UMUHIMU usionao.....
Acha kujipa umuhimu usionao....wewe insignificant ,umeelewa ?Jikite kwenye hoja
sina muda huo kwenda kushangaa magumashi ya ndoaAcha roho ya kimaskini....njoo ukumbini tule bata la shemeji Ki ,watoto wa kumwaga leo hapa....upunguze psychosis yako....
Moja ya mgawanyo wa mtu mwenye akili ni uwezo wa kuwa na kumbukumbu.Na kumbukumbu inapimwa kwa uwezo wa kukariri.Mifumo Wetu sio wa kukariri ni WA kuelewa. Kukariri nifumo unaotumiwa na watu wasio na UBONGO WA kuelewa ( UBONGO mdogo) hivyo hulinywa dude kama lilivyo. Hata kama tumesoma shuleni unajua jinsi watu hao wasio na UBONGO WA kuelewa walivyokuwa wanahangaika kukariri biology na masomo mengine.
Kwasababu zimetokea kwa jamii ya watu wanaoshabihiana.kwanini Quran na biblia zinafanana habari zake ?
Nchi gani ya kiislamu umewahi kuishi ndugu Mtanzania???Huwa nashangaa kwanini hayafanyiki kwenye nchi za kiislam!
Kuna ajenda gani?
Alilazimisha UKUU sehemu ambayo hana UKUU WOWOTE.Shujaa Magufuli aliingia ndani ya msikiti mkuu wa BAKWATA Kinondoni na kuukagua
Ume highlight ujinga. Ukiona mtoto wako anakariri madaftari nukta hadi nukta ujue umezaa kilazaMoja ya mgawanyo wa mtu mwenye akili ni uwezo wa kuwa na kumbukumbu.Na kumbukumbu inapimwa kwa uwezo wa kukariri.
Huwezi kukariri kitu kama huna akili.Na wote walioweza kukariri hata nusu ya Quraan huwezi wakuta wakishindwa masoma ya shule.
Afghanistan.Nchi gani ya kiislamu umewahi kuishi ndugu Mtanzania???
ISSA NDIYO ALIYE PEWA INJILI KWA MUJIBU WA UISLAMU HIVYO YEYE NI DARAJA BAINA YA UYAHUDI KUELEKEA UNASWARA HIVYO KWA MUJIBU WA UISLAMU MANASWARA NI WATU WA MTUME ISSA WAFUATAO KITABU CHA INJILI AMBACHO NI MAAGIZO YA MUNGU YA MWISHO KABLA YA HUO MSAHAFU WA MUHAMMAD JE KABLA YA MUHAMMAD KUPEWA UTUME NA KUPEWA MSAHAFU JE ALIKUWA ANA FUATA MUONGOZO WA MUNGU WA INJILI MAANA NDIYO MAAGIZO YA MUNGU YA MWISHO KABLA YA MSAHAFU ...KAMA ALIFUATA INJILI BASI MUHAMMAD ALIKUWA MNASWARA KISHA NDIYO AKAFIKA DARAJA YA UTUME NA KUPEWA UTUME NA MSAHAFU ....KAMA SIVYO BASI KUNA WALAKINI KUHUSU UCHAMUNGU WA MUHAMMAD KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 40 YAANI 39 KWENDA CHINI ? NA KAMA NI HIVYO WANAOSEMA MUHAMMAD KATOKEWA NA SHETANI MAPANGONI WAPI SAHIHI.Kwani yesu alikuwa mkristo-nasara kufuata kitabu cha Injili ?!!
Zaburi-Daud a.s
Taurat-Musa a.s
Injeel-Isa a.s
Kwa sababu vimeteremshwa na Allah kwa mitume wake ambao wanafikisha dini yake kwa watuVitabu hivi vina uhusiano gani na uislam?
nani ahangaike kuzuia mambo ya kipuuzi kama hayo? Endeleeni kubumbazika wakati wengine wanafanya mambo ya maana kuhifadhi sayansi na teknolojia
Kwa sababu vimeteremshwa na Allah kwa mitume wake ambao wanafikisha dini yake kwa watu
Miafrika bana, wakati watu wanakusanyika ili kuhifadhi AI, ML, BChain, Crypto Currency etc, sisi tunakusanyika kukariri maandishi ambayo hata kuongeza ujuzi wa namna ya kujitegemea na kutatua changamoto zinazotuzunguka
Sasa wewe unataka nikuonyeshe uhusiano gani au wewe utanionyesha uhusiano gani wa hivyo vitabu na ukristoVizuri kwa kujibu. Lakini hakuna uhusiano wowote uliouonesha kati ya uislam na vitabu hivyo. Kwa maana msingi wa uislam ni kuruwan. Na kuruwan haikuweko kabla ya nabii muhamad. Hivyo uislam pia haukuwepo. Uhusiano bado hauko wazi. Ni wa kufikirika