Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
OkSwali halijibiwi kwa swali. Uliza swali baada ya kujibu swali
Simulizi moja inasema alioa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 9. Wazungu wanawaita watu wa aina hiyo Pedophiles.Mafundisho ya mudi yanaongoza kwa kuendekeza ngono
Aya nimeshakujibuSwali halijibiwi kwa swali. Uliza swali baada ya kujibu swali
Kurudiarudia maneno au jambo hakulifanyi hilo jambo kuwa lisilo na maana.....
Hata kitandani tunarudiarudia majambo"kwa kwenda mbele ,kurudi ,kwenda kushoto...juu na chini ikiwezekana.."ila marudio hayo hutupa watoto wanaoongeza idadi ya wana ukoo....
Aya nimeshakujibu
Kwani nini umewezaNenda kajipange, halafu uje tena
Sio tu Quran Allah ameteremsha vitabu kabla ya Quran
UNA HUAKIKA IYO TAR 23 FEB/2025 RAIS ATAKUWA DAR,SI ANA ZIARA TANGARais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya dunia ya kusoma Quran Tukufu, yatakayofanyika nchini katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Februari 23, mwaka huu.
Akizungumza na vyombo vya habari, jijini Dar es Salaam, Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakari Zuberi, amesema kuwa mashindano hayo yanatarajia kushindanisha mabara matano, Afrika, Asia, Arabu na Ulaya.
Amesema hayo ni mashindano ya kwanza kuhudhuriwa na mabara mengi, kwa kuwa inatokana na sera na juhudi za Rais Samia, kuimarisha urafiki na undugu pande zote za dunia.
Aidha alitoa wito kwa wazazi kujikita kwenye malezi bora, yakiwamo kuwaelekeza watoto kwenye elimu ya dini, ili kuwe na taifa bora na makini lenye kumuogopa Mungu, kwani dini ndio mwongozo wa maisha.
Mwakilishi wa Balozi ya Saudi Arabia, Shehe Mutab Bin Azamay Suleiman, amesema wanaushukuru uongozi wa Tanzania unaoongozwa na Rais Samia, kuwa nchi ya mfano yenye utulivu na amani hadi mashindano hayo makubwa kufanyika nchini.
mesema tayari Waziri Mkuu wa Saudi Arabia ameshasaini mikataba ya kusaidiana kati ya BAKWATA na serikali ya Saudi Arabia na matunda yameaanza kuonekana, kwa makubaliano na ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Mwandaaji wa Mashindano hayo, Shekhe Othuman Kaporo, amesema mashindano yataongozwa na kuhudhuriwa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Saudi Arabia wa Madina, Shekhe Abdallah Buaijan, na kwa mara ya kwanza Tanzania kupata ugeni huo.
Amesema washiriki wataweza kujinyakulia zawadi mbalimbali, zikiwamo magari, bajaji, pikipiki na tiketi za kwenda kuhiji Mji Mtakatifu ‘Mecca’.
Pia wahudhuriaji watakaofika katika Uwanja wa Benjamini Mkapa wataweza kuangalia na kupima afya zao bure, kwa magonjwa yasiyoambukiza.
Source: Nipashe
USIANGAIKE NAYE UYO IYO TAR RAIS ATAKUWA TANGA NA SIO DARSalty water is easy tonic to calm an erupted brainless brain
Tanga Pana umbali gani kutoka Uwanja wa Mkapa?UNA HUAKIKA IYO TAR 23 FEB/2025 RAIS ATAKUWA DAR,SI ANA ZIARA TANGA
Imba na wewe kama rahisiUkisha Kariri hausomi tena. Unaimba
Zaburi-Daud a.sNi vitabu gani na viliteremshwa kwa nani?
nani ahangaike kuzuia mambo ya kipuuzi kama hayo? Endeleeni kubumbazika wakati wengine wanafanya mambo ya maana kuhifadhi sayansi na teknolojiaHaitakuwa ni kwa mara ya kwanza...
Hivi huko nyuma yalipofanyika yalizuiwa yasifanyike na ubwatukaji wako kama huu ?!!
kwani huko umeambiwa kuna mashindano ya kuhifadhi biblia?Bali Rais ahudhurie matamasha ya injili tu ?!!
Si ndio?
naweza kuwa binadamu wa pekee kuwahi kuja duniani, sio lazima nifanane mawazo na binadamu wengine wafuata mkumbo kama nyumbuSi wote waliohifadhi Quran ni masheikh....
Huo ni utaratibu wa dini yetu....je tukusikilize na kukufuata wewe Loth ,kwa kuwa wewe ni nani ?!!
Jambo lisilokuhusu unawezaje kuwa "kiranja" wake ?!!
Kwa hiyo huo utaratibu wa namna mungu anavyo angalia ni mpya ulimwengu maana hao mitume na manabii aliopita walitii kwa kufuata taratibu alizo elekeza mungu au unataka kusema musa ni mpumbavu kwa kukubali kuvua viatu pale alipo ambiwa na mungu vua viatu hapa ni mahali patakatifu ...hivyo ilipasa asivue viatu kwa sababu ulizo zitoa wewe za kuangalia moyo ? Hapa tunakuja kugundua kuwa wewe unasikia ila hauelewi ...maana tunavyo vielelezo vya mitume wote na manabii wote walivyo enenda mbele za mungu je hiyo logic ya mungu kuangalia moyo haikuwako dhama zao au ilikuwako? Kama ilikuwako mbona wao awakufanya kana usemavyo...unajua maana ya haya maneno 👉Wewe ndio akili huna...Mungu anaangalia ulichonacho moyoni mwako sio mavazi unayovaa.
Kibaya ni kile kikutokacho sio kile kiingiacho.
Na Maisha Ni bibliaBiblia ni Maisha
Wewe ni wa kipekee...sisi si wa kipekee....baki na upekee wako hatutaki huo ushauri na maoni yako ya kipekee katika mambo yetu yasiyotaka wako upekee....naweza kuwa binadamu wa pekee kuwahi kuja duniani, sio lazima nifanane mawazo na binadamu wengine wafuata mkumbo kama nyumbu
Mbona akili yako kisoda mzee ?!!kwani huko umeambiwa kuna mashindano ya kuhifadhi biblia?
Wewe ni nani utushauri sisi mambo ya imani yetu ?!!nani ahangaike kuzuia mambo ya kipuuzi kama hayo? Endeleeni kubumbazika wakati wengine wanafanya mambo ya maana kuhifadhi sayansi na teknolojia