Walokole ni wapumbavu wenzio hao .....wewe unajua hata kazi za wale masister kwenye kanisalako lq kihuni πππππππWewe ni Mpumbavu wa kilokole, unayedhani unajua mengi kumbe kichwa kitupu tu.
Hivyo vitabu nilivyovitaja mimi ni maneno ya Mwenyezimungu na si ya wanadamu kama hilo agano la kale
Hivyo vitabu kwa sasa havipo maana viliharibiwa kwa kupunguzwa na kuongezwa maneno na wayahudi kwa hiyo sasa tunatumia Quran tu lakini imethibitishwa kuwa vitabu hivyo vilimtaja MuhammadSasa hiyo ni kulingana na uelewa wako na itikadi yako.
Mbali na hayo issue hapa tunataka kujua uhusiano uliopo kati ya vitabu ulivyovitaja hapo na uislam/kuruwan/muhamad. Nipe aya chache kutoka vitabu hivyo zinazomtaja muhamad kwamba atakuja
Mtoto mdogo kuendelea kuongea na wewe ni kupoteza muda.Walokole ni wapumbavu wenzio hao .....wewe unajua hata kazi za wale masister kwenye kanisalako lq kihuni πππππππ
Hivyo vitabu kwa sasa havipo maana viliharibiwa kwa kupunguzwa na kuongezwa maneno na wayahudi kwa hiyo sasa tunatumia Quran tu lakini imethibitishwa kuwa vitabu hivyo vilimtaja Muhammad
Maana hata wewe hivyo vitabu huvifahamu!!!
Kwani mimi nimekwambia mayahudi wamemweka yesu kwenye vitabu vyaoBro unaongea vitu vya kufikirika. Mamlaka gani ilithibitisha kwamba vitabu hivyo viliharibiwa. Na tena kwamba jina la muhamad liliondolewa. Na kitu ambacho unapaswa ujue, mayahudi na dini yao hawamkubali Yesu. Je wangekubali kumuweka Yesu katika vitabu vyao, mtu ambaye walikuwa hawamkubali mpaka wakamuua?
HakikaKitendo cha kumuandika Mungu ukitoa m ya herufi ndogo kinaonyesha wewe bado mtoto mdogo kiumri na kimawazo.
Akili huna ,utakuwaje na hela ya kuingia kumbi za hafla hizi ?sina muda huo kwenda kushangaa magumashi ya ndoa
Hakika ...Moja ya mgawanyo wa mtu mwenye akili ni uwezo wa kuwa na kumbukumbu.Na kumbukumbu inapimwa kwa uwezo wa kukariri.
Huwezi kukariri kitu kama huna akili.Na wote walioweza kukariri hata nusu ya Quraan huwezi wakuta wakishindwa masoma ya shule. kwa
hela zipo ila ni ushamba kuhudhuria hafla za show off kama hizoAkili huna ,utakuwaje na hela ya kuingia kumbi za hafla hizi ?
Kaa sitimbi ucheze na ngedere huko....
Huna hela bwana weweee....hela zipo ila ni ushamba kuhudhuria hafla za show off kama hizo
Muhammad SAW anatajwa kwenye Injili ya Yohana Mtakatifu kama " Nabii Yule" πΌHivyo vitabu kwa sasa havipo maana viliharibiwa kwa kupunguzwa na kuongezwa maneno na wayahudi kwa hiyo sasa tunatumia Quran tu lakini imethibitishwa kuwa vitabu hivyo vilimtaja Muhammad
Maana hata wewe hivyo vitabu huvifahamu!!!
Jonijo mkazi mwenzangu wa Mikocheni uwe na kiasi basi....dini na wanadini wenye akili na heshima ya utu wao hawafiki kuambiana maneno makali....kwani kila mtu anaweza kuongea maneno makali isipokuwa tu waungwana hawaongei maneno makali kwani waungwana huheshimu na kuthamini sana IMANI ZA WENGINE....Muhammad SAW anatajwa kwenye Injili ya Yohana Mtakatifu kama " Nabii Yule" πΌ
Yohana 1:21
Kila siku useme na tukusikilize kwa kuwa wewe ni nani ?!!Kila siku humu huwa nasema hawa watu ni wajinga, Bado mnabisha?
Ukiusoma ukoo wa Yesu kwa Upande wa mama yaani Bikira Mariam ndio utamkuta Muhammad SAW kule mbeleJonijo mkazi mwenzangu wa Mikocheni uwe na kiasi basi....dini na wanadini wenye akili na heshima ya utu wao hawafiki kuambiana maneno makali....kwani kila mtu anaweza kuongea maneno makali isipokuwa tu waungwana hawaongei maneno makali kwani waungwana huheshimu na kuthamini sana IMANI ZA WENGINE....
Unafanya maskhara nami sipendi kufanya maskhara katika imani za dini haswa dini za wenzangu.... maskhara huwa nafanya katika mambo mengine tu.....Ukiusoma ukoo wa Yesu kwa Upande wa mama yaani Bikira Mariam ndio utamkuta Muhammad SAW kule mbele
Ila ukiusoma kwa Upande wa akina Daudi na Yusuf humuoni kwa Urahisi ππ
Nimekupa Injili ya Yohana 1:21 hutakiUnafanya maskhara nami sipendi kufanya maskhara katika imani za dini haswa dini za wenzangu.... maskhara huwa nafanya katika mambo mengine tu.....
Weka hapa aya za maagano mawili (kale & Injili) zinazomtaja mtume Muhammad SAW katika ukoo wa Yesu kupitia kwa mama bikira Mariam (amani na rehema zi juu yake)....
Twende kwanza katika thread ya Dr.Mama Amon...nitarudi huku baadaye sana.....Nimekupa Injili ya Yohana 1:21 hutaki
Sasa hata ukoo wa Yesu na unashindwa kuupata kwenye Surat Mariam?
Mtafute Sheikh Alhad Mussa Salum akupe darsa!
Ukichaa wangu hauondoi uhalisia/ukweli kuwa nyinyi ni wajinga.Kila siku useme na tukusikilize kwa kuwa wewe ni nani ?!!
Acha kujipa umuhimu kwa mambo ya wengine wasio wewe....huo nao ni ukichaa !!
Mjinga ni baba y...o ambaye ni chookoor na kukuzaa wewe mpododo shougeer !Ukichaa wangu hauondoi uhalisia/ukweli kuwa nyinyi ni wajinga.