much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Ndo ukweli machawa mnawaza ulaji wenzenu wanawaza chaguzi huku watumishi serikalini utendaji sifuriAcha ujinga wako hapa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ukweli machawa mnawaza ulaji wenzenu wanawaza chaguzi huku watumishi serikalini utendaji sifuriAcha ujinga wako hapa wewe
Wewe, unajua msemo wa kula kwa macho wewe?Umepewa mualiko au utakula kwa macho?
Unalipa kodi kutoka kwenye shughuli gani unayoifanya ya halali?Haya bhana ukumbuke nalipa kodi ndiyo maana umepata mshahara wa January na fedha za kujikimu. Hongera lakini
Nyau weweUnalipa kodi kutoka kwenye shughuli gani unayoifanya ya halali?
UmesamehewaNyau wewe
ShwainiUmesamehewa
Masaa 17 post ina like moja tu ya Tlaatlaah 😊😊 something wrong... Anyway Mkuu Lucas Mwashambwa unaandika walaka huu, huku ukiwa unabubujikwa machozi ya furaha ukiwa wapi mkuu???Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama ambacho kimeendelea kuwa kimbilio la watanzania wanyonge na kinachoendelea kugusa Maisha ya watu pamoja na kuleta tabasamu na nuru kwa watu.
Ni Miaka 48 tangia kuanzishwa kwake lakini kinabakia kama chama imara na kiongozi Barani Afrika. kinabakia kuwa chama cha mfano Duniani kwote kwa mfumo wake na hata historia yake.
CCM kimebakia kuwa chama kinachoheshimika na chenye hadhi ya kipekee kabisa barani Afrika na ulimwenguni kwote. si tu kwa historia yake bali kwa kazi kubwa kiliyoifanya ya kulinda heshima ya mwanadamu na utu wa watu wote bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
CCM imeendelea kuwa darasa tosha kwa vyama mbalimbali vichanga . Ni CCM pekee ndio chama kilichoendelea kuliweka Taifa letu katika hali ya utulivu,amani ,usalama , mshikamano na umoja wa kitaifa.
Ni CCM pekee ndio imewafanya watanzania tuendelee kuishi kama ndugu na wamoja licha ya kuwa tuna makabila zaidi ya 120 . lakini hatubaguani kwa misingi ya makabila yetu. ndio maana tunaendelea kushirikiana na kusaidiana katika shida na raha. Tunaendelea kuchagua viongozi wetu bila kujali kabila wala rangi wala dini ya mtu . Hii yote ni kazi ya CCM iliyofanywa kwa miaka hiyo yote. kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa moja.
Kwa hakika CCM ina kila sababu ya kujivunia miaka 48 ya uwepo wake madarakani. Ambao Umeleta nuru hatta nje ya mipaka yetu. Umeleta heshima mahali palipokuwa na kudharauliwa ,umeleta haki mahali palipokuwa na uonezi na ukandamizaji. CCM Imewapa Sauti na nguvu watu wote ya kupaza sauti zao bila hofu wala wasiwasi ya kuzungumza.
Lakini ni CCM iliyoleta maendeleo makubwa na ya kupigiwa mfano barani Afrika. kuanzia katika Elimu,Afya, miundombinu na mengine mengi sana. Ndio maana CCM inaendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania kuendelea kuliongoza Taifa letu.
Rais Samia anakwenda kuweka rekodi yake ya kukiongoza chama hiki kama mgeni Rasmi akiwa tayari amepitishwa na Mkutano mkuu kuwa mgombea wake wa Urais .Lakini pia ni Rais Samia atakayeweka rekodi ya kuwa Mwenyekiti wa CCM pale ambapo chama hiki kitakuwa kinatimiza Nusu karne hapo Mwaka kesho kutwa tangia kuzaliwa kwake.View attachment 3221151View attachment 3221155View attachment 3221156
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nikiwa Washington DC MarekaniMasaa 17 post ina like moja tu ya Tlaatlaah 😊😊 something wrong... Anyway Mkuu Lucas Mwashambwa unaandika walaka huu, huku ukiwa unabubujikwa machozi ya furaha ukiwa wapi mkuu???
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.Nenda kanisani sasa.Shwaini
Simbilisi wewe kaoge utoe janaba hiloUmesamehewa dhambi zako bure kabisa.Nenda kanisani sasa.
Tunawatakia kila la kheri viongozi wetu.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama ambacho kimeendelea kuwa kimbilio la watanzania wanyonge na kinachoendelea kugusa Maisha ya watu pamoja na kuleta tabasamu na nuru kwa watu.
Ni Miaka 48 tangia kuanzishwa kwake lakini kinabakia kama chama imara na kiongozi Barani Afrika. kinabakia kuwa chama cha mfano Duniani kwote kwa mfumo wake na hata historia yake.
CCM kimebakia kuwa chama kinachoheshimika na chenye hadhi ya kipekee kabisa barani Afrika na ulimwenguni kwote. si tu kwa historia yake bali kwa kazi kubwa kiliyoifanya ya kulinda heshima ya mwanadamu na utu wa watu wote bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
CCM imeendelea kuwa darasa tosha kwa vyama mbalimbali vichanga . Ni CCM pekee ndio chama kilichoendelea kuliweka Taifa letu katika hali ya utulivu,amani ,usalama , mshikamano na umoja wa kitaifa.
Ni CCM pekee ndio imewafanya watanzania tuendelee kuishi kama ndugu na wamoja licha ya kuwa tuna makabila zaidi ya 120 . lakini hatubaguani kwa misingi ya makabila yetu. ndio maana tunaendelea kushirikiana na kusaidiana katika shida na raha. Tunaendelea kuchagua viongozi wetu bila kujali kabila wala rangi wala dini ya mtu . Hii yote ni kazi ya CCM iliyofanywa kwa miaka hiyo yote. kuhakikisha Taifa linaendelea kuwa moja.
Kwa hakika CCM ina kila sababu ya kujivunia miaka 48 ya uwepo wake madarakani. Ambao Umeleta nuru hatta nje ya mipaka yetu. Umeleta heshima mahali palipokuwa na kudharauliwa ,umeleta haki mahali palipokuwa na uonezi na ukandamizaji. CCM Imewapa Sauti na nguvu watu wote ya kupaza sauti zao bila hofu wala wasiwasi ya kuzungumza.
Lakini ni CCM iliyoleta maendeleo makubwa na ya kupigiwa mfano barani Afrika. kuanzia katika Elimu,Afya, miundombinu na mengine mengi sana. Ndio maana CCM inaendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania kuendelea kuliongoza Taifa letu.
Rais Samia anakwenda kuweka rekodi yake ya kukiongoza chama hiki kama mgeni Rasmi akiwa tayari amepitishwa na Mkutano mkuu kuwa mgombea wake wa Urais .Lakini pia ni Rais Samia atakayeweka rekodi ya kuwa Mwenyekiti wa CCM pale ambapo chama hiki kitakuwa kinatimiza Nusu karne hapo Mwaka kesho kutwa tangia kuzaliwa kwake.View attachment 3221151View attachment 3221155View attachment 3221156
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nitakula kwa mikonoWe mwenyewe utakula kwa macho
Mimi ni mjasiriamali hilo hata wewe unalijua vizuri snUnalipa kodi kutoka kwenye shughuli gani unayoifanya ya halali?
Masaa 17 post ina like moja tu ya Tlaatlaah 😊😊 something wrong... Anyway Mkuu Lucas Mwashambwa unaandika walaka huu, huku ukiwa unabubujikwa machozi ya furaha ukiwa wapi mkuu???

Be at peace masta, au na we unabubujikwa na machozi ya furaha??😀😀nadhan this is free forum, na hakuna post itafutwa kwa mujibu wa kanuni za jukwaa
hata hivyo,
kwan kuna anae lazimishwa kusoma, kulike au kukoment post gentleman?![]()
gentleman,Be at peace masta, au na we unabubujikwa na machozi ya furaha??😀😀

Masta,gentleman,
binafsi nina dhamana kubwa ya kushughulika na mambo ya wananchi kwa kiasia kikubwa, na furaha ya ni wananchi kupata maendeleo![]()