Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kila uchwao lazima yajitokeze mambo mampya ya maendeleo kwaajili ya waTanzania.Masta,
Kuna maendeleo mapya unaweza kuleta sasa?
unafahamu serikali sikivu, madhubuti na imara sana ya ccm imetangaza nafasi za ufadhili wa 100% kwa masomo ya ujuzi wa fani mbalimbali kwa wahitimu wa darasa la saba, kidato cha nne na kuendelea wenye umri wa miaka 18-35 nchi nzima?
hilo sio jambo jipya, kama miradi ya sgr, bwawa la umeme la mwl. Nyerere, biashara na usafirishaji usikuku kucha ni mambo ya zamani?
