Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

Masaa 17 post ina like moja tu ya Tlaatlaah 😊😊 something wrong... Anyway Mkuu Lucas Mwashambwa unaandika walaka huu, huku ukiwa unabubujikwa machozi ya furaha ukiwa wapi mkuu???
 
Tunawatakia kila la kheri viongozi wetu.
 
Masaa 17 post ina like moja tu ya Tlaatlaah 😊😊 something wrong... Anyway Mkuu Lucas Mwashambwa unaandika walaka huu, huku ukiwa unabubujikwa machozi ya furaha ukiwa wapi mkuu???

nadhan this is free forum, na hakuna post itafutwa kwa mujibu wa kanuni za jukwaa

hata hivyo,
kwan kuna anae lazimishwa kusoma, kulike au kukoment post gentleman?
 
Be at peace masta, au na we unabubujikwa na machozi ya furaha??πŸ˜€πŸ˜€
 
gentleman,
binafsi nina dhamana kubwa ya kushughulika na mambo ya wananchi kwa kiasia kikubwa, na furaha ya ni wananchi kupata maendeleo
 
Masta,

Kuna maendeleo mapya unaweza kuleta sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…