kila uchwao lazima yajitokeze mambo mampya ya maendeleo kwaajili ya waTanzania.
unafahamu serikali sikivu, madhubuti na imara sana ya ccm imetangaza nafasi za ufadhili wa 100% kwa masomo ya ujuzi wa fani mbalimbali kwa wahitimu wa darasa la saba, kidato cha nne na kuendelea wenye umri wa miaka 18-35 nchi nzima?
hilo sio jambo jipya, kama miradi ya sgr, bwawa la umeme la mwl. Nyerere, biashara na usafirishaji usikuku kucha ni mambo ya zamani?