Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

Siendi uwanjani . Simba wenzangu mmeharibu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Simba Agosti 6, 2023 yatakayofanyika katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar Es Salaam.
View attachment 2707853
Wanaiingiza siasa kwenye Michezo ili kupata support ya wananchi. Walifanya hivyo kwenye dini... Mambo yakigeuka wanaleta propaganda.
 
Heri aende angalau wapate nafuu
Maana walikuwa wanalialia mno

Ooh mara mama anapendelea Yanga,
Ooh Mama yeye anawaona Yanga tu.

Haya sasa,anakuja.


Mmeona wenzenu hata hatulii.
 
Heri aende angalau wapate nafuu
Maana walikuwa wanalialia mno

Ooh mara mama anapendelea Yanga,
Ooh Mama yeye anawaona Yanga tu.

Haya sasa,anakuja.


Mmeona wenzenu hata hatulii.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685678819686.jpg
    33.8 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1685989825969.jpg
    39.8 KB · Views: 1
Heri aende angalau wapate nafuu
Maana walikuwa wanalialia mno

Ooh mara mama anapendelea Yanga,
Ooh Mama yeye anawaona Yanga tu.

Haya sasa,anakuja.


Mmeona wenzenu hata hatulii.
Simba haina utamaduni wa kulalamika. By the way, mialiko ya Mama kwa Yanga ndio iliwezesha Feitoto kutoka Yanga kiulaini, jambo ambalo tulikuwa tunalitaka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…