TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kikubwa asichelewe kufika...!Safi sana ,nimependa hii angle ya kumpa Mama nafasi ya mgeni rasmi, akili imetumika bien hapa , itamsaidia mama sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa asichelewe kufika...!Safi sana ,nimependa hii angle ya kumpa Mama nafasi ya mgeni rasmi, akili imetumika bien hapa , itamsaidia mama sana
Hahaaa.Naona anabalance mzani
Lengo ni awapo,upepo wa bandari uuishe,awahi ,asiwahi sio ishu,mtamsubiri tuKikubwa asichelewe kufika...!
Yanga walimtolea uvivu!!!Lengo ni awapo,upepo wa bandari uuishe,awahi ,asiwahi sio ishu,mtamsubiri tu
Muulize Lissu😂Mkataba wa bandari vipi???
Zote ni strategicYanga walimtolea uvivu!!!
Kuna tofauti sanaRais makini lazima ahudhurie Tukio muhimu la Simba Day na siyo Takataka zingine za Wananchi wakati kuna wenye nchi Simba SC.
View attachment 2707806
Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba.
Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania.
Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana kwa mchango wako mkubwa kwenye sekta ya Michezo na Maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Karibu sana Mheshimiwa Rais.
Kuna tofauti sana
Yanga alialikwa na rais tena kwa kupigiwa magoti yanga
Leo simba weenda kujiliza kumuomba aje
Pia yanga ishaalikwa mpaka na rais wa Malawi
Sent using Jamii Forums mobile app