Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

Rais makini lazima ahudhurie Tukio muhimu la Simba Day na siyo Takataka zingine za Wananchi wakati kuna wenye nchi Simba SC.
Kuna tofauti sana
Yanga alialikwa na rais tena kwa kupigiwa magoti yanga

Leo simba weenda kujiliza kumuomba aje


Pia yanga ishaalikwa mpaka na rais wa Malawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2707806

Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba.

Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania.

Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana kwa mchango wako mkubwa kwenye sekta ya Michezo na Maendeleo ya Taifa kwa ujumla.

Karibu sana Mheshimiwa Rais.

Mkipata nafasi , muulizeni habari za mkataba wa bandari
 
Rais wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu,badala ya kudili na mambo yanayobeba mustakabali wa taifa hasa katika kipindi hiki ambacho taifa lipo kwenye mjadala mzito kuhusu mkataba wa dp world,yeye hana hata mda wa kuzungumza na watanganyika kuhusu sintofahamu hiyo ilojitokeza,badala yake anaenda kwenye simba day,mara azindue jezi za yanga mara Barth day ya sugu ilimradi mambo shaghala bagala.Kweli kupitia samia nimeamini uongozi ni kipawa
 
Back
Top Bottom