Rais Samia mgeni rasmi Simba Day, Agosti 6, 2023

Kazi nzuri sana ya washauri wake wa Siasa.
Muda huu mama anahitaji sana tabasamu la Watanzania.

Tunamkaribisha kwa Shangwe la Bashasha Mubashara kabisa kutoka Kumtima, yaani Kumoyoni.

Watanzania ni watu wazuri sana na wana upendo mwingi kwao na kwa viongozi wao na ni wepesi wa kusamehe na kusahau.

Ila tunamwomba sana Mheshimia Raisi wetu Kipenzi Dr. S.H.S. Tuko chini ya miguu yake

Tunataka azifanyie kazi kelele za Watanzania.
Hii ni nchi ya Furaha, Amani na Upendo.
Tunataka mwendelezo wa maisha yetu tuliyoyazoea.
Tunataka tumpende Raisi wetu katika maisha yake yote.
Tunataka awe historia nzuri ya nchi yetu.
Nawasilisha.
 
Naona unatafuta mtu wa kukufukunyua asubuhi yote hii.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hebu acheni kuongea upuuzi kwenye hii Mada.

Mama yetu kipenzi anaisoma na anataka kujua washabiki wa mpira wanasemaje kuhusiana na ujio wake kwenye Simba Day.

Hebu futeni hizo meseji zenu za kizembe.

Kashifianeni kwenye Inbox zenu huko.
Lazima mpime uzito wa Mada husika ndio mchangie.
 
Hongereni Wana Simba
 
Siasa hizi....
 

Attachments

  • 85DBA077-CB88-4084-8BBC-188A7590D8DB.jpeg
    99.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…