Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Inshort wale waliokua karibu sana na JPM nilijikuta nawapenda sana kwasababu walikua wanamuhudumia rais wangu kipenzi. Walinzi wote, mpambe, dereva na hata walinzi wa mama Janeth, hii post imenisononesha mpaka nimemkumbuka JPM wangu ingawa kilasiku ni lazima niwaangalie YouTube
Acha kukariri wewe mimi nilifikiri ni suala la kisheria kumbe ni desturi.Halafu Mashauri anapaswa kuondoka pale, desturi mpambe anatakiwa kuwa Kanali
Anafanya kazi at the pleasure of the President.Acha kukariri wewe mimi nilifikiri ni suala la kisheria kumbe ni desturi.
Kilichokufanya kumpenda ni nini?! Ilhali kazi zake hazikugusi wewe hapo vijibweni directly?Nimefurahi sana kumuona huyu baba, ninampenda hatari, asante sana kwa utumishi wako kwa rais wetu kipenzi JPM
Acha kukariri wewe mimi nilifikiri ni suala la kisheria kumbe ni desturi.
Sina ushahidi wa watu wake kuteka na kuua
Mkuu yani saa meja apande mpaka kanali hii haipo Duniani kote.Magufuli alikuwa anapandisha vyeo hovyo hovyo, unaweza kukuta huyu alimtoa kwenye u-Saa-Meja. Pengine kijeshi ndio inagoma kumpandisha mpaka aende kozi kadhaa
Namjua na issue yake naijua ila sina ushahidi wowote wa aliyemfanyia hivyo
Hao unaosema ni wale ambao wapo makambini au kwenye vikosi lakini huyu mpambe wa Rais yeye yupo kazi maalum..Maofisa wa jeshi kuanzia ngazi ya Brigedia Jenerali wanatakiwa kuwa na wasaidizi wa kijeshi / wapambe.
..sasa yule Mpambe wa Raisi ambaye amepandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali naye anatakiwa awe na mpambe.
..hiyo ndio mantiki ya BigBro kushauri afisa mwingine wa jeshi ambaye hajafika ngazi ya Jenerali ateuliwe kuwa mpambe.
.
Epuka kutumia neno " unaweza kukuta"Magufuli alikuwa anapandisha vyeo hovyo hovyo, unaweza kukuta huyu alimtoa kwenye u-Saa-Meja. Pengine kijeshi ndio inagoma kumpandisha mpaka aende kozi kadhaa
unajua mambo ya jeshi kiongozi?yaani saa meja,apande cheo aende wapi?saa meja 2(WO2),akipanda anakuwa WO 1,hapo ndo mwisho kwa vyeo vya maaskari wa chini.Magufuli alikuwa anapandisha vyeo hovyo hovyo, unaweza kukuta huyu alimtoa kwenye u-Saa-Meja. Pengine kijeshi ndio inagoma kumpandisha mpaka aende kozi kadhaa